Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini

Hakuna mtu anayetaka uisifie simba coz tunawajua wazee wa roho mbaya..sasa jibu swali wale wanaume kutoka uganda huwa wanaishia nafasi gani CAFCL?...
 
Mbona hata nyie Yanga mwaka jana mliiishia hatua ya awali, hakuna shida kwa St George kuishia raundi ya awali
 
Saint George na yanga ipi ni team bora?

IMG_5664.jpg

IMG_5665.jpg

IMG_5666.jpg

IMG_5667.jpg

We unaona nani bora hapo...???jibu ukilipata basi jiongeze kuwa simba kamfunga bora kuliko nyie ..
 

Attachments

  • IMG_5664.jpg
    IMG_5664.jpg
    71.6 KB · Views: 4
Mkuu unasema St.George sio kipimo kizuri kwa Simba sc kwakua huwa wanaishia round za awali za michuano ya Caf na huku ukisema kipimo kizuri ni Jmosi dhidi ya Yanga hivi ina maana mkuu huwa hujui Yanga inaishia hatua zipi kwenye hiyo michuano ya Caf au umeamua tu kujifurahisha kuandika.

Mimi sioni tofauti yoyote kati ya Yanga na St.George sasa sijui mnawabeza kwa lipi?
 
Juz mliingiza mwiko mpana sanaa kule nyuma nini?maana mnaonea kama mmepaliwa hamna cha maana zaid ya mikelele ya miguno tu
 
Back
Top Bottom