Sawa bwana Haji OG ManaraHapa hakuna visingizio vya mechi za kimataifa, Simba wako huru zaidi na nimjuavyo Simba akijeruhiwa humrarua kila anayesogeza pua yake.
Timu ni zile zile mnazozipiga 2, 3 au 5 mtakazokutana nazo Kwa ligi mbalimbali, hivyo hakuna haja ya kufungwa. Nategemea mtachukua VPL, Kagame, Kombe la Mapinduzi, Federation Cup, Sportpesa n.k.
Kila la kheri mnyamaView attachment 1222013
Timu ya wananchi gani? Congo?Kipaumbele ni timu ya Wananchi.
Ndio timu ya taifa, inahudumiwa na Serikali, hata uwanja imepewa na Serikali.
Sisi Simba ni Kama taasisi binafsi.
Tunajitegemea kwa chochote.
Mtoto wa kufikia ndiye anayetumia juhudi binafsi na kufanikiwa.
Mtoto wa baba anasubiri kuandaliwa chakula mezani.
Hongera mtoto wa Mama.
Mbona liko wazi kabsa tutatembeza kichapo mpaka team frani ifukuze mkufunzi
Dada nimecheka lol.Mimi ni nani nikubishie ulichoongea hapo [emoji847]
Hahahha kweli dada mimi siwezi kumbishia ukweli alioongeaDada nimecheka lol.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuachee na time will tell yako dadaWazungu wanasemaga "Time will tell"