Simba msiwapotoshe mashabiki wenu tuweke rekodi sawa, kataa uongo

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
⚽️KATAA KUDANGANYWA KATAA KATAKATA UONGO⚽️

Jamani kwa mliozaliwa miaka ya 2000 nataka niwape somo kidogo, hakuna timu kutoka Tanzania iliyowahi kufika Nusu Fainali Michuano ya CAF. 1992 Simba alicheza Fainali Kombe la Washindi liliondaliwa na tajiri kutoka Nigeria, yaani hayo yalikuwa mashindano ya muda tu na yalishirikisha nchi za Weusi tu hakukuwa wala na Nchi za Kaskazini zile za Waarabu. Tuweke rekodi sawa. 😂

Simba alikwenda kwenye hii michuano baada ya kumaliza nafasi ya 3 Ligi Daraja la Kwanza. Leo nawapa elimu bila ada.
➡️Toka lianzishwe Kombe la Shirikisho mwaka 1972 kwa tanzania iko hv👇👇👇👇👇👇

1️⃣Yanga
Makundi x 3️⃣(2016,2018 na 2023)
Robo x 1️⃣ 2023
Nusu ~ Hakuna
Fainali ~ Hakuna

2️⃣Simba
Makundi x 1️⃣(2022)
Robo x 1️⃣ (2022)
Nusu ~ Hakuna
Fainali ~ Hakuna

Credit mtandaoni.
 
Bora umeweka rekodi sawa
 
Dah! Mimi si mfuatiliaji wa soka lakini hapa umeandika kishabiki mno bila tafiti. Hivi mashindano ya Afrika Mashariki kudhaminiwa na Kagame yanaondoa ukweli kwamba ni ya Afrika Mashariki? Na unaposema nchi za kiarabu hazikushiriki ilikuwaje Simba akawatoa El Harrach ya Algeria kwenye robo fainali kabla hajakutana na Aviacao ya Angola kwenye nusu?...
 
Arudishe transcription yake ya udokta tukague.
 
Hii mada mbona ilishajadiliwa
 
Ukianza kuweka mabadiliko ya criteria basi hata mwaka 1980 hatukushiriki afcon??? Manake ilikuwa haiitwi afcon nchi kama South Africa zilikuwa hazishiriki
 
Dr wa mchongo ktk 1 na 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa jamaa ni kuwasamehe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hawana tofauti na wale anafika Dar mwaka 2023 halafu anasema kabla ya Mimi kuja Dar ... ilikuwa sio jiji..
Kilikuwa kijiji Tu hata maghorofa ya kuhesabu
 
Performance in CAF competitions

The highest success that Simba achieved was reaching the final of the CAF Cup in 1993, where they lost to Stella Club of Côte d'Ivoire. It was the highest continental achievement by a Tanzanian team to date. In 2003 Simba beat the then-reigning champions Zamalek of Egypt in the CAF Champions League second round of qualifiers to qualify to the group stages, after having beat Santos of South Africa in the first round.
1974 semi finals


Source: wikipedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…