Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
⚽️KATAA KUDANGANYWA KATAA KATAKATA UONGO⚽️
Jamani kwa mliozaliwa miaka ya 2000 nataka niwape somo kidogo, hakuna timu kutoka Tanzania iliyowahi kufika Nusu Fainali Michuano ya CAF. 1992 Simba alicheza Fainali Kombe la Washindi liliondaliwa na tajiri kutoka Nigeria, yaani hayo yalikuwa mashindano ya muda tu na yalishirikisha nchi za Weusi tu hakukuwa wala na Nchi za Kaskazini zile za Waarabu. Tuweke rekodi sawa. 😂
Simba alikwenda kwenye hii michuano baada ya kumaliza nafasi ya 3 Ligi Daraja la Kwanza. Leo nawapa elimu bila ada.
➡️Toka lianzishwe Kombe la Shirikisho mwaka 1972 kwa tanzania iko hv👇👇👇👇👇👇
1️⃣Yanga
Makundi x 3️⃣(2016,2018 na 2023)
Robo x 1️⃣ 2023
Nusu ~ Hakuna
Fainali ~ Hakuna
2️⃣Simba
Makundi x 1️⃣(2022)
Robo x 1️⃣ (2022)
Nusu ~ Hakuna
Fainali ~ Hakuna
Credit mtandaoni.