Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ni ajabu na kweli timu iliyokuwa inajinasibu kuwa na kikosi bora imebaki kutegemea mbeleko ya kadi nyekundu na penalty ili kupata matokeo,,,na licha ya kupata matokeo wanatoa machozi jasho na damu kupata angalau kagoli kamoja mbele ya timu inayocheza pungufu kwa muda mrefu.
Kama mpinzani akiwa kamili uwanjani makolo wanaondoka patupu maana wanakosa plani b ya kutafuta ushindi, sasa najiuliza hii plan yao ya kufaidika na red card na mipira ya penalty ikibuma uko mikoani watakuwa na hali gani awa watu.
Wanapata kigoli kimoja wanashangilia Kama vile wamemuona yesu live🤣🤣🤣🤣 hii ni hatari sijawai shuudia maajabu aya