Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Peleka CAS😕😕Sijaona sababu kwa nini refa kaongeza dakika 5
Mbeleko ya leo kali
Sijaona sababu kwa nini refa kaongeza dakika 5
Mbeleko ya leo kali
ila bwana sijui huu ni ushabiki wa aina gani.....Sijaona sababu kwa nini refa kaongeza dakika 5
Mbeleko ya leo kali
Na Ni bongo pekee like Kosa la Manula linakosa onyo, Kosa la Boko pia linakosa onyo, waamuzi wamechemsha, waliwatoa Namungo kwenye game na kuwapakata Makolo. But all in all Simba badoila bwana sijui huu ni ushabiki wa aina gani.....
wakati red inatolewa ulipotea mda kiasi gani?...
Tulia tukuhemee kisogoniNa Ni bongo pekee like Kosa la Manula linakosa onyo, Kosa la Boko pia linakosa onyo, waamuzi wamechemsha, waliwatoa Namungo kwenye game na kuwapakata Makolo. But all in all Simba bado
Badoo ukilinganisha na misimu uliyopita, kiwango chenu Kiko chini Sana. Jana juhudi kubwa zimefanywa na waamuzi kuwanusuru na sareTulia tukuhemee kisogoni
Dakika 5 ndo zinacheza mpira?Sijaona sababu kwa nini refa kaongeza dakika 5
Mbeleko ya leo kali
Uliangalia mpiraSijaona sababu kwa nini refa kaongeza dakika 5
Mbeleko ya leo kali
Nendeni mkashitaki CAS wahuni wakubwa nyie,Mayele anaushika mpira halafu mnapewa penati nyie.Ni ajabu na kweli timu iliyokuwa inajinasibu kuwa na kikosi bora imebaki kutegemea mbeleko ya kadi nyekundu na penalty ili kupata matokeo,,,na licha ya kupata matokeo wanatoa machozi jasho na damu kupata angalau kagoli kamoja mbele ya timu inayocheza pungufu kwa mda mrefu, na Kama mpinzani akiwa kamili uwanjani makolo wanaondoka patupu maana wanakosa plani b ya kutafuta ushindi, sasa najiuliza hii plan yao ya kufaidika na red card na mipira ya penalty ikibuma uko mikoani watakuwa na hali gani awa watu, wanapata kigoli kimoja wanashangilia Kama vile wamemuona yesu live[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii ni hatari sijawai shuudia maajabu aya
mkikutana nao sio hao unaowaonaPoint 3 Muhimu Zipo Simba Tayari
Mmmmmm! Mkuu, naona upo JF kimakosa! Au hauukuangalia huo mchezo?Sijaona sababu kwa nini refa kaongeza dakika 5