Simba mtateseka sana msimu huu kama staili yenyewe ndo hii

Sijaona sababu kwa nini refa kaongeza dakika 5
Mbeleko ya leo kali
Kipa wa Namungo katibiwa mara tatu, red Kadi ilipotoka MTU alitumia zaidi ya dakika 2 kutoka uwanjani, hayo hukuyaona, kuna sub zilikuwa zikifanyaika, haya yote hukuyaona, Acha mahaba ongelea uhalisia, hlf hizo dakika huwa zinaongezwa Kwa timu zote mbili, je wao wangeshinda mechi hiyo, ungekuja kusemaje hapa?
 
Vip yanga bila red na penalty mngeshinda
 
K
Kama ile penati walipewa Uto baada ya Mayele kushika mpira na red card ya Ruvu. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…