Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
MbumbumbuKwa hiyo hadi hapo shida ni nini?Nyani wamekuwa binadamu?Au wenye akili wameongezrka?
Acha kubwabwaja. Kila siku mnajinasibu na kikosi kipana leo mnalia lia kwa sababu ya ratiba? Mlipokuwa mnalimbikiza 'viporo' huku mkikenua meno hamkujua kwamba lazima mje mmalizane na viporo vyenu?Fadlu alikuwa sahihi tatizo viongozi wa Simba wapowapo haiwezekani siku sita unacheza mechi tatu?
Ukifatilia Simba misimu mitatu inatolewa nusu fainali sababu ya ratiba.
Siku 6 ni masaa 144 gawanya na mechi 3 ni saa 48 Rudi darasani ukatoe ujinga nahisi mwalimu wako alipata shida Sana.Acha kubwabwaja. Kila siku mnajinasibu na kikosi kipana leo mnalia lia kwa sababu ya ratiba? Mlipokuwa mnalimbikiza 'viporo' huku mkikenua meno hamkujua kwamba lazima mje mmalizane na viporo vyenu?
Kila ilipokuwa inafika mchezo wa kimataifa mnajikuta wa kishua mnaahirisha mechi kwa kisingizio cha safari halafu leo mnalialia nini?
Mlitaka mechi zenu ziishe mwezi wa saba?
Nikukumbushe tu... Kikanuni kikosi kinatuhusiwa kushuka dimbani kila baada ya masaa 72. Kama walishuka dimbani chini ya hapo mnayo haki kulalamika
Umesoma msitari wangu wa mwisho? Au ninyi ndio huwa mnapitisha mikataba bila kusoma?Siku 6 ni masaa 144 gawanya na mechi 3 ni saa 48 Rudi darasani ukatoe ujinga nahisi mwalimu wako alipata shida Sana.
Wee nae mbona huwa wanapata adhabu au kwa sbb ni mechi za zamani unajisahaulisha...Mashabiki wa simba wanaifilisi tu timu yao kwa kufanya mambo ya kitoto na yasiyo ya kiungwana. Sijui shida iko wapi!! Huwezi kusikia mashabiki wa Yanga wameng'oa viti au kuwatupia watu chupa za maji.
Umeshawahi kusikia mashabiki wa Yanga wameng'oa viti uwanjani, au kuwatupia waamuzi makopo ya maji?Wee nae mbona huwa wanapata adhabu au kwa sbb ni mechi za zamani unajisahaulisha...
Mashabiki wenu wao ni hatuchezii hatuchezii...
Mpka huyo msemaji wenu juzi tuu akatandikwa faini ya milioni 5 kwa kuropoka ropoka hivyo
umeongelea masaa 72 ndio maana nikasema mwalimu wako alipata shida sanaUmesoma msitari wangu wa mwisho? Au ninyi ndio huwa mnapitisha mikataba bila kusoma?
Kwahyo kosa ni kun'goa viti makosa mengine kwako ni ruksa??Umeshawahi kusikia mashabiki wa Yanga wameng'oa viti uwanjani, au kuwatupia waamuzi makopo ya maji?
KisuguKwahyo kosa ni kun'goa viti makosa mengine kwako ni ruksa??
Yataje basi hayo makosa ya mashabiki wa Yanga. Usiishie tu kwenye kuuliza.Kwahyo kosa ni kun'goa viti makosa mengine kwako ni ruksa??