ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mnaombwa iwe ivo tusilete timuNani awakimbie?? Yani sisi ambao tunawawaita mje uwanjani hamtaki...ndo tupambane..kufungwa kama hamjawahi kufungwa na Simba ndo uje hapa ulete mdomo...
Otherwise ni kubweka tuu kama kawaida yenu na ulimbukeni...
Bodi itajiuzulu na kuwafunga tutawafunga 5imba wala msiwe na haraka