ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Jun 5, 2025 #41 Kalpana said: Nani awakimbie?? Yani sisi ambao tunawawaita mje uwanjani hamtaki...ndo tupambane..kufungwa kama hamjawahi kufungwa na Simba ndo uje hapa ulete mdomo... Otherwise ni kubweka tuu kama kawaida yenu na ulimbukeni... Click to expand... Mnaombwa iwe ivo tusilete timu Bodi itajiuzulu na kuwafunga tutawafunga 5imba wala msiwe na haraka
Kalpana said: Nani awakimbie?? Yani sisi ambao tunawawaita mje uwanjani hamtaki...ndo tupambane..kufungwa kama hamjawahi kufungwa na Simba ndo uje hapa ulete mdomo... Otherwise ni kubweka tuu kama kawaida yenu na ulimbukeni... Click to expand... Mnaombwa iwe ivo tusilete timu Bodi itajiuzulu na kuwafunga tutawafunga 5imba wala msiwe na haraka
TOHATO JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 1,491 Reaction score 5,386 Jun 5, 2025 #42 rodrick alexander said: umeongelea masaa 72 ndio maana nikasema mwalimu wako alipata shida sana Click to expand... Tarehe 17 Kacheza Na Berkane kwao Tarehe 25 kacheza na Berkane Tz Tarehe 28 Kacheza na Singida KMC Tarehe 31 Kacheza na Singida Kule Tanzanite Tizama huo mtiririko sema ni mechi gani kacheza chini ya masaa 72(siku 3) ili tuseme kaonewa maana hiyo ndo iliyoko kikanuni.
rodrick alexander said: umeongelea masaa 72 ndio maana nikasema mwalimu wako alipata shida sana Click to expand... Tarehe 17 Kacheza Na Berkane kwao Tarehe 25 kacheza na Berkane Tz Tarehe 28 Kacheza na Singida KMC Tarehe 31 Kacheza na Singida Kule Tanzanite Tizama huo mtiririko sema ni mechi gani kacheza chini ya masaa 72(siku 3) ili tuseme kaonewa maana hiyo ndo iliyoko kikanuni.
PSL god JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 12,573 Reaction score 9,076 Jun 7, 2025 #43 Kalpana said: Wewe ni mrembo tuu mimi nakujua...mimi kisugu nakulia timing muda mrf tuu...hilo shape kama la mwijaku naliachaje sasa... Click to expand... Umeongea kibabe sana 🤣
Kalpana said: Wewe ni mrembo tuu mimi nakujua...mimi kisugu nakulia timing muda mrf tuu...hilo shape kama la mwijaku naliachaje sasa... Click to expand... Umeongea kibabe sana 🤣
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 7, 2025 #44 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,899 Reaction score 73,370 Jun 7, 2025 #45 PSL god said: Umeongea kibabe sana 🤣 Click to expand... Muda mwingine unacheza na biti sio kukaa kinyonge....
PSL god said: Umeongea kibabe sana 🤣 Click to expand... Muda mwingine unacheza na biti sio kukaa kinyonge....