Simba na kuvaa kote Visit Tanzania ila Wizara ya Maliasili na Utalii inawapa ofa Yanga

Utani wa jadi sasa hivi umehamia kwenye chuki za wazi kabisa. Ni aibu kubwa kwa taifa. Tujifunze kupongezana pale tunapofanya vizuri kimataifa. Naona sasa tumefika kwenye uadui hadi inafika mahala unaona kabisa waliofanikiwa wanaweza kudhurika kwa namna wanavyo shambuliwa na mahasimu wao..... Hadi watu maarufu pia wameshindwa kuficha hisia zao mbaya juu ya mafanikio aliyoyafikia Yanga..... Tujifunze kupongezana panapo stahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…