Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Kilichobaki yanga wapewe nchi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichobaki yanga wapewe nchi sasaView attachment 2647340
[emoji3][emoji3][emoji3]Visit Tanzania
Umeenda nje ya nchi Mara mbili
Simba hajatangaza nchi
Amezurula hapo Kampala na Malawi
Akaenda Morocco
Safari ikaisha
Akarudi bongo kufatila sakata la feitoto
Na nyie mfike fainali ya CAF CLSimba hapa wanapaswa wajiongeze. Wapige chini hiyo sijui 'Visit nini nini sijui'. Mtu unakuwa kama mtoto wa kufikia au wa hiari bhana, unafanya jambo hakuna anaye appreciate, akifanya mtoto wa familia anakuwa appreciated.
Kwani nyie mlifika CAFCL??Na nyie mfike fainali ya CAF CL
Mkuu mbona umepiga kwenye mshono tenaKilichobaki yanga wapewe nchi sasaView attachment 2647340
Mwaka tunafika,inshallahKwani nyie mlifika CAFCL??
Msimu huu 2023/2024 ndo tunaenda kufyekelea rekodi zenu zoteKwani nyie mlifika CAFCL??
Peweni sasa hiyo nafasiKwani nyie mlifika CAFCL??
Thubutu..!Msimu huu 2023/2024 ndo tunaenda kufyekelea rekodi zenu zote
Mpira ni mchezo wa wazi,2023/2024 haipo mbaliThubutu..!