Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
- #21
Wachezaji wa kupatika kwa bonanza ndiyo shida iliyomkutaMwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!