Simba na Mbeya city zafuata nyayo za Baba yao Yanga

Mwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!
Wachezaji wa kupatika kwa bonanza ndiyo shida iliyomkuta
 
Kwa makocha waliohudumu simba miaka ya karibuni bado Uchebe kajitahidi! Na simba hamjawa wakubwa kiasi hicho mnachodanganywa na Manara!
Kweli kabisa umesema ukweli wenye chloroquine
 
Wala sina hasira naandika hapa nikiwa na mood ya kucheka kwaiyo ni usndishi tu usifikirie hivyo

Ila swala la zahera linatakiwa lichukuliwe seriuos, yule sio kichaa achome pesa zake za nauli kutoka ulaya kuja bongo bila malengo yeyote
Mchukueni atawasaidia
 
Basi Aussems ni kichaa kwa mantiki yako, soka letu mkuu tusiumie, si Umeona Unai, ndivyo soka lilivyo
 
Sawa lakini ishu ya zahera msiipuuze, mpeni chake asepe maana mkataba unamlinda
 
Kwa makocha waliohudumu simba miaka ya karibuni bado Uchebe kajitahidi! Na simba hamjawa wakubwa kiasi hicho mnachodanganywa na Manara!
Ndio njia tulio ichagua , kwanza tumechelewa kumfukuza , Horoya kocha wao alipofel tu kwenda group stage hapo hapo nje ...hii ndio njia..kesho yako haiji yenyewe...unaitengeneza
 
Back
Top Bottom