Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi wachomoe mwiko wapachike mkuyengeSiunajiamini kwamba simba anakufa leo? najua huko nyuma unapazingatia sana mpaka umeshaweka na sheria nyuma mwiko, sasa waambie masela hapa jf wakufanyeje huko mwikoni endapo mnyama ataua mwarabuuto leo? sema.
usihofu siwezi kukufanyia hivyo nipo makini sana. uwe na amani kabisa. leo yanga tunamchapa mtu vibaya sana kisha narudi home kukuchapa na wewe kwa kauli yako hii. bakora hata tatu tu uone uchungu wakeAchana na ushabiki wa hivyo haukupendezi,iko siku utamweka mkeo kwenye bet..shauri yako
Sawausihofu siwezi kukufanyia hivyo nipo makini sana. uwe na amani kabisa. leo yanga tunamchapa mtu vibaya sana kisha narudi home kukuchapa na wewe kwa kauli yako hii. bakora hata tatu tu uone uchungu wake
Mnaanzisha nyuzi za kisengerma halafu mnazikimbia.Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Dada umepanic sana why?Mnaanzisha nyuzi za kisengerma halafu mnazikimbia.
Ban yanini wakati bando lenyewe la jero msala.