Simba na wachambuzi wao hovyo sana

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
Simba waliingia uwanjani wakijua watafungwa, kwanini nasema hivi.
1. Wanasema sana na kushangilia kana kwamba wameshinda mechi.

2. Inonga kutamba kumdhiti Mayele,ni dalili ya wazi walikuwa wanamuhofia sana(mayele anatisha)

Kama simba wangekuwa bora kuliko yanga wangeshinda mchezo.

Wote ni bora,sasa simba wamekuwa na maneno mengiiii kana kwamba wameshinda mechi,hii inaonesha waliingia kwa hofu ya kupoteza mchezo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mayele mnamkuza tu ila hamna kitu pale, jamaa ni mtupu na mbahatishaji

Halafu na nyie tabia ya kuwapa sifa za kindezi wachezaji wanaoifunga simba sijui mtaacha lini, balama mapinduzi yuko wapi saizi?

Haya upepo wa mayele umeshakata mna jiandaaje na mechi ya marudiano, mtakua na mchezaji gani wakututambia?
 
Ukiona tu Man of the match anakuwa Goalkeeper au Centreback ujue shughuli hamna hapo
 
Ukiona tu Man of the match anakuwa Goalkeeper au Centreback ujue shughuli hamna hapo
Watu hawaelewi kabisa yaani. Yaani mechi ukiona beki au kipa anakuwa man of the match maana yake timu ilizidiwa mno hivyo hao watu walijituma sana kuzuia mashambilizi.
 
Tatizo lenu mnajisahaurisha Sana ,mwez mzima hapa jukwaan mmekua mkiimba taarabu kuwa tutamfunga Simba nyingi jumrisha na manara wenu yeye aliamin aucho ,bangala ,moloko mayele ndio mwiba kwa Simba ajab wote walifichwa Jana.

Simba hashangilii dro Bali anashangilia kuwaprove wrong kuwa bado nyie ni timu ya kawaida. Labda kama hukuangalia mpira jana, maana aliekuwa amezidiwa anajulikana Wazi, watu full kijiangusha kupoteza muda .

Simba anapocheza na yanga anakuwa Kama kakutana na Geita gold Ila yanga Sasa Mara aseme mtan Ni Azam Mara kwenye kujieleza aseme tumetoshana nguvu na mtaani wangu[emoji23][emoji23][emoji23] kauli za kimalaya Malaya tu.

Alafu Cha kukuongezea Simba Wala hashangilii draw Zaid anaumia kuzikosa point tatu Ila Bora hata draw ukizingatia lile zungu toleo la mwisho lilijimwambafai Sana.

Kama una jicho la kimchezo utagundua Simba Hana shida na yanga Bali Ana shida na zungu pori ,so hii Vita Ni ya Simba na zungu pori anayewananga viongoz wa Simba kila kukicha ,Simba Hana shida na yanga maana anamuona Kama zilivyo Geita ,kmc na timu zingine tu
 
Watu hawaelewi kabisa yaani. Yaani mechi ukiona beki au kipa anakuwa man of the match maana yake timu ilizidiwa mno hivyo hao watu walijituma sana kuzuia mashambilizi.
Wengi wao wana akili ya kizezeta za kihindi
 
Tatizo lenu mnajisahaurisha Sana ,mwez mzima hapa jukwaan mmekua mkiimba taarabu kuwa tutamfunga Simba nyingi jumrisha na manara wenu yeye aliamin aucho ,bangala ,moloko mayele ndio mwiba kwa Simba ajab wote walifichwa Jana...
Nchi hii ina vilaza wengi sana.
 
K
Kabsa na ile tabia sijui fei totoz ni mkali sijui anaisumbua simba sijui aucho ni sawa na pogba wa buza huko. Leo wanaruka ruka tu km bisi katika kujieleza.
 
Sifa mnampa ninyi kwa kumuhofia.
Mnashangila sare,inonga anatamba kwa kuzuwia,angekuwa mayele boya kama boko nini ngemfqnya atambe?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wao wana akili ya kizezeta za kihindi
Huu ni upumbavu usiotibika,
Tatizo simba mnawategemea sana wachambuzi wetu kina shaffi,mayai nk.
Watakachosema hao ndicho mnachokwenda nacho.
Angalia simba anakona ngapi na yanga anakona ngapi, nini tafsiri ya kina kuwa nyingi upande mmoja?

Ina maana yanga alidominate mchezo,akafika Mara nyingi golini kwa simba.
Simba hawakuwa na option nyingine zaidi ya kuutoa mpira ili kuepusha hatari ya kupigwa.
.simba macho yetu,akili zenu na fahamu zenu zipo kwa wachambuzi.

Ninyi hamna macho,KUNA CHUO CHA WACHAMBUZI WA MPIRA?
WACHAMBUZI NI WATOTO WA MJINI TU WANATQFUTA WATOTO WAO WAENDE PUBLIC TOILET.
PENYE MPUNGA NDIPO WANAPOPASEMEA VIZURI.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 

Wewe Ni Nguruka Tu, Kama Ngege Vile

Umeshaona nguruka akioza?
Unakunya ubongo afu mahali lake yanabadiri mavi.

Angalia madhambi simba amefanya Mara ngapi na yanga amefanya Mara ngapi? Toa tafsiri hapo. Yapo mengi yakuangqlia kwenye ule mchezo na kupata maana halisi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
ndo kusema zile kaul za "hatuwez kufungwa mara mbili" zimesahaulika na kujiona mmeweza kumdhibit mwanaume anayetaka kubaka eti?
 
Kwahiyo wewe hujui kuwa Balama alipata majetaha ya muda mrefu? Sijui unatumia kiungo gani kufikiri....anayemkuza Mayele ni nyie mnaotamba mmemdhibiti....kwa kumshika na kumvuta
 
Watu hawaelewi kabisa yaani. Yaani mechi ukiona beki au kipa anakuwa man of the match maana yake timu ilizidiwa mno hivyo hao watu walijituma sana kuzuia mashambilizi.
Yanga ameposses zaidi kwenye eneo lake baada ya kuzidiwa eneo la kati na akina sadio kanoute na mkude, hivyo wakaanza kupiga pass nyingi kwenye eneo lao ili kuwavuta Simba alafu wapige mipira mirefu, hivyo tuachane na ball possession sababu haina maana yeyote kama unaposses kwenye eneo lako. Twende kwenye attempts ambapo simba ame-attempt mara nyingi zaidi ya yanga hii inamaana kwamba Simba ameshambulia zaidi ya yanga.
 
Yanga yale magazeti mloandika wiki nzima + mapambio ya kusifu na kuabudu wachezaji wenu yameishia wapi?
Jana mmetulizwa kama mpira wa rede mmekua wadogo kama piritoni
Afu hamjatoa ratiba ya kumkanda goal keeper wenu maana Kanoute alimvunja vidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…