Utopolo umebebwa sana halafu unakuja hapa kutamba hata aibu huoni?
Nini kilisababisha mwamuzi apulize kipenga wakati wa move ya Morrison na kapombe kwenye 18?Mwamuzi alikuwa anawaokoa
Nini kilisababisha goli kukataliwa?Hakuna ajuaye ni nini zaidi wa waamuzi waliotaka kuwaokoa.
Siku zote ubora wenu huwa mnauhesabu kwa kuifunga Simba,lakini ukweli si lolote ndio maana mkicheza mechi za kimataifa lazima mharibu

Simba waliingia uwanjani wakijua watafungwa, kwanini nasema hivi.
1. Wanasema sana na kushangilia kana kwamba wameshinda mechi.
2. Inonga kutamba kumdhiti Mayele,ni dalili ya wazi walikuwa wanamuhofia sana(mayele anatisha)
Kama simba wangekuwa bora kuliko yanga wangeshinda mchezo.
Wote ni bora,sasa simba wamekuwa na maneno mengiiii kana kwamba wameshinda mechi,hii inaonesha waliingia kwa hofu ya kupoteza mchezo
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app