⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini ?


  • Total voters
    41
  • Poll closed .

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo!

😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
 
Nimeota ndoto mbaya juu ya hii mechi mpaka niko njia panda maana nina vita ya moyo na nafsi , ndugu zangu watabiri njooni nielekeze niliyoyaona huko maana Moyo ni mnyama ila ndoto wale jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…