⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini ?

  • Total voters
    41
  • Poll closed .
Mimi napenda sana ile tambiana tambiana inayoendelea kwa sasa hivi; inaburudisha sana. Nasikitika itatamatika Jumapili ila ningependa mechi ihahirishwe kidogo kusudi tambiana tambina hii iendelee kidogo mili tuendelee kupata burudani ya aina yake.
 
Mashabiki wa simba wanapenda sana kujitutumua kabla ya mechi, huku wakiwa wanaujua ukweli.

Halafu baada tu ya mechi sasa! utaona watakavyo washushia wachezaji wao, benchi la ufundi, na mwekezaji wao; gunia la lawama.
 
Utasikia sisi tupo busy na CAF champions League nyie endeleeni kuroga, mara bahasha maneno kibao
 
Hakuna namna makolo watachomoka kwa Mkapa. Kesho simba ataingia kijiji cha wamaasai, lazima atundikwe msalabani
 
Back
Top Bottom