ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja
Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa
Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la ufundi
Huwezi kutaka kumiliki uwanja wa kisasa na Bado ukataka ubingwa, laZima ukubali kukaa pembeni miaka takribani 10 bila ubingwa
Simba mpo tayari Ateba anayelipwa million 33 aondoke striker awe Karabaka
Simba mpo tayari Camara anayevuta million 28 aondoke adake Salim
Simba mpo tayari Ngoma aondoke anayelipwa million 40 mbakie na balua
Yanga mpo tayari Aziz ki anayelipwa million46 asepe abake Nkane
Yanga mpo tayari Pacome aondoke abaki Farid
Mpo tayari Aucho aondoke abakie Aziz Andambwile
Timu za Wanachama ni ngumu kujenga Uwanja na kufanya vyema kiwanjani Kwa wakati mmoja
Timu zilizotoka Kwenye ushindani walivoamua kumiliki viwanja
1. Arsenal
Kabla ya 2005 Arsenal ilikuwa timu tishio ila ulivoamuA kuhama Highbury na kwenda Emirates, iliwatoa kwenye ushindani hadi Leo
Wachezaji wao vinara walihama Arsenal kutafuta maslahi na vikombe akina Henry, van persie, Song, Nasir, KolonToure, Sanchez n.k
2 Barcelona
Uwanja wao mpya wa sportfy Stadium 🏟️ umewayumbusha uwanjani
Wachezaji wao vinara wakambia kama Mesi, Neymar, Dembele
Na kushindwa ku battle kwenye soko la usajili
3 Tottenham Hotspur
Hii timu ilikuwa tishio ila kujenga Uwanja kulishusha budget na Sasa ni timu inayo struggle
4.Everton
Everton wanahamia kwenye uwanja wao mpya msimu ujao hii imesabisha hii timu kutokufanya vyema uwanjani.
Tukumbuke msimu uliopita walikuwa karibu kushuka daraja