Simba na Yanga ndiyo miamba ya Online Engagements Afrika nzima

Ukiangalia ukurasa rasimi wa X wa CAF Champions League tangu kuingia Kwa makundi utajionea kitu Cha kushangaza na kufurahisha pia

Tangu admin wa ukurasa ule alipoanza kutoa kadi za pongezi Kwa miamba iliyoingia CL,ni kadi mbili tu ambazo zimepata engagements kubwa sana

Na hapa namanisha likes,retweets na comments

Mpaka muda tunapokwenda mitamboni,ubao unasomeka hivi kwa upande wa likes kwa timu zote kumi na sita:
Yanga ana likes 7292,Simba 4577,Mamelodi 2885,TP Mazembe 2719,Jwaneng 1830,Medeama 1824,Al Ahyl 1746,Pyramid 1711,Wydad 1311,Asec Mimosas 1175,Al Hilal 1082,ESS Tunis 982,Atletico Petroleos 869,ESS Tunisia 800,CR Belouizdad 730 na aliyefunga orodha ni chama langu toka Mauritania FC Nouadhibou 448

Kimahesabu hapo admin wa CAF atapata maokoto mengi kupitia kuziposti habari za Simba na. Yanga hivyo hiyo pia ni njia nzuri kwa hivi vilabu viwili kuajulikana zaidi Kwa kuwa vitakuwa vinaandikwa zaidi kwani vinauchamgamsha sana ule ukurasa

Naomba Mungu Simba na Yanga zifike hata nusu fainali,hii itatupa muda mwingi wakujibrand

For more information Unaweza cheki viambata hapa chiniView attachment 2770698View attachment 2770699
Halafu mnyama mkali kabisa SIMBA wa nyika ndio anaongoza kwa mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapenda Mpira sisi watanzania
 
Watanzania wanatumia football kusahau matatizo yanayowakabili
 
Ni kweli Timu za Tanzania huwa zinachangamsha sana kurasa za CAF, na siyo Timu za Tanzania, tuseme Simba. Kwa upande wa Online engagement nadhani Simba wapo vizuri zaidi, miaka minne nyuma Manara aliganya kazi kubwa sana ya kuwahamasisha na walihamasika.
 
Miaka ya nyuma ni sawa,ila siyo Kwa sasa
 
Hayo ndio masuala yanayo wa keep busy 80% ya watanzania, utaachaje kuwa na taifa la chawa??!! Bahati nzuri na viongozi wa ki siasa wanayajua hayo
 
Back
Top Bottom