Simba na Yanga ndiyo miamba ya Online Engagements Afrika nzima

Halafu mnyama mkali kabisa SIMBA wa nyika ndio anaongoza kwa mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapenda Mpira sisi watanzania
 
Watanzania wanatumia football kusahau matatizo yanayowakabili
 
Ni kweli Timu za Tanzania huwa zinachangamsha sana kurasa za CAF, na siyo Timu za Tanzania, tuseme Simba. Kwa upande wa Online engagement nadhani Simba wapo vizuri zaidi, miaka minne nyuma Manara aliganya kazi kubwa sana ya kuwahamasisha na walihamasika.
 
Miaka ya nyuma ni sawa,ila siyo Kwa sasa
 
Hayo ndio masuala yanayo wa keep busy 80% ya watanzania, utaachaje kuwa na taifa la chawa??!! Bahati nzuri na viongozi wa ki siasa wanayajua hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…