Simba na Yanga ndiyo miamba ya Online Engagements Afrika nzima

Mkuu soka la bongo limekua kutokana na uwekezaji, najiuliza Azama Fc anafeli wapi!!??
Pia wabongo wanapenda sana mpira.
Wanapenda mno mpira ila tatizo ni kipato tu.
Mechi za siku hizi ukiwaambia bure haijalishi ni nani anacheza na nani eatu wanajitokeza kwa wingi.
 
Wazigua walijaa kwenye Page ya Aston Villa na kuanza kushusha matusi baada ya Samatta kuwekwa benchi hadi Samatta akajitokeza kuomba msamaha Kocha, Wachezaji na management ya Aston Villa. Pia akawaomba wa Waswahili wasitukane.
 
Aahaaaa,ni noma aiseee
 
Tanzania bei ya vifurushi vya bundle ipo chini sana ukilinganisha na nchi zingine kwa hiyo tuishukuru serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…