vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,185
- 6,645
Simba na Yanga zilianzishwa ili kuienzi amani ya nchi hii, kwani zisingekuwepo hizi timu hebu tufikirie mjadala ungekuwa kwenye nini?Kweli Nchi nzima mpaka ambaye hajajua atakula nini utamkuta kwenye ubishi wa Simba na Yanga !! Hatar sana !!
Kwenye Siasa !!Simba na Yanga zilianzishwa ili kuienzi amani ya nchi hii, kwani zisingekuwepo hizi timu hebu tufikirie mjadala ungekuwa kwenye nini?
Sasa unajua matokeo ya kujadili siasa muda wote?Kwenye Siasa !!
Nachukia mamipira ila sa ndo hivyo yamejaa kila tv
Ukweli mtupu, yaani hata kwenye redio siku hizi vipindi vya michezo vimegawana nunu kwa nusu na vipindi vingine. Unakuta kipindi cha masaa matatu wamejaa mashabiki wa timu mbili wanapigana vijembe na kutukanana tena mida ya mchana kabisa.
Mpaka Tbccm nao wamo kuzungumzia upuuzi huu siku nzima. Vijana wote kutwa na vikaratasi vya ku bet , mchongo pesa, chota mihela, hela chapuchapu za karibu radio zote
We are living in a fools paradise