Pongezi kwako mtoa hoja. Watanzania wengi wamekuwa walevi mno wa masuala ya mpira.
Huwezi kukuta watu katika makundi wanajadili MASUALA, bali utakuta wanajadili SIMBA na YANGA masaa yote.
Kwa Takwimu za Kombe la Dunia lililopita, Watanzania ndo walioongoza Duniani kufuatilia michuano ya Kombe la Dunia.
Huu ni ujinga mkubwa sana.
Huko Duniani huwezi kukuta watu muda wote wanahangaika na jambo moja tu.
Tunatakiwa kubadili MINDSET zetu.