Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Kwahiyo wanapata wapi hata pesa za kununua jezi za simba na yanga ikiwa hao mashabiki hawana kazi wanapiga vizinga?Halafu unatoka kazini wanakuja kukupiga mzinga ila kuanzia asubuhi ni Simba na Yanga.