Simba na Yanga: Tabiri mchezaji yoyote unayehisi atafunga Goli leo

Yanga ni underdog, unabisha?
underdog alikukojolesha kimoja

underdog alikurudishia goli 2 ndani ya dk 3

ama ulitaka sema ile doggystyle ya morison mkuu ndo yanga atawapa leo.
 
Kila siku sio ijumaa mzee...mpira una siku na siku. Huwezi kujua nani atapafom vizuri mechi kama ya leo ,mara nyingi mpira unakuwaga mbovu sana timu hizi zikikutana .
kweli mkuu, leo ndo umejua mpira unadunda kwa miaka 4 hatukuwahi mpiga nyau ila mwaka huu wa 5 tunampiga mwaka mzima.

ila kwa mechi zote zilizo wakutanisha yanga na simba chama huwa anapotezwa mazima
 
Usije tu baadae ukakana comment yako kwani John boko amewafunga Nyie Mara ngapi mpaka useme hivyo?
Tangu aje Simba hajawahi kutufunga kipindi yupo Azam kawahi mara mbili tatu km ikivyo kwenu tu si ndio maana mkamsajili!
 
Kwa Simba wanaoweza wakawa kwenye ubao wa matokeo ni;
Meddie Kagere
Zimbwe Jr
Miqquisonne

Kwa Yanga wanaoweza wakafunga ni;
Kaseke
Fei toto
Yondani
 
Kikosi cha Simba tayari ni kile kilichocheza na Azam ni wazi kocha atatumia mbinu zilezile Kapombe, Kennedy wameanza bench kuna Kagere,Miraj, Mzamiru, Dilunga, Kakolanya Deo Kanda hayupo hata benchi
 
Chama, boko na kahata.
Yanga atafunga moja, ambalo ni kaseke au molinga assist ya bm33
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…