Fonts za gazeti tu hazifanani, halafu Gazeti na habari ni Kiingereza, tittle iwe ya kiswahili. Umedanganywa ukadanganyika na ukaamua ku share ujinga uliouamini.Wananchi fcView attachment 1545581
Wala haujakosea.Fonts za gazeti tu hazifanani, halafu Gazeti na habari ni Kiingereza, tittle iwe ya kiswahili. Umedanganywa ukadanganyika na ukaamua ku share ujinga uliouamini.
Mazingira magumu kwako kwa wengine means nature or homeWala haujakosea.View attachment 1545590
Hueanda hata nchi yako ilianzishwa na mzunguLeo hii nchi nzima ni aidha Yanga au Simba, hata watu ambao hawaishi Dar lakini ni washabiki wa Yanga au Simba kwanini? Wewe unaishi Mwanza au Arusha Yanga au Simba inakuhusu nini? Huko uliko kwani hakuna timu, kwa nini usitoe sapoti yako kwa timu yako ya nyumbani uliko? Hata mnaelewa maana ya football club kwanza?
Leo hii nchi nzima ni aidha Yanga au Simba, hata watu ambao hawaishi Dar lakini ni washabiki wa Yanga au Simba kwanini? Wewe unaishi Mwanza au Arusha Yanga au Simba inakuhusu nini? Huko uliko kwani hakuna timu, kwa nini usitoe sapoti yako kwa timu yako ya nyumbani uliko? Hata mnaelewa maana ya football club kwanza?
Hakika jua litatua.Mazingara magumu kwako kwa wengine means nature or home
Mwamposa kaanzisha ipi?Mbona hata dini bado umekumbatia za waarabu na warumi na kubeza wanazoanzisha kina Mwamposa!
Watoto wanajua kubong'oa duhWananchi fcView attachment 1545581
Mwamposa kaanzisha ipi?
Simba na Yanga zikicheza ni daby la nchi nzima badala ya kwenye mji waliopo.
hii ni adimu sana kwenye nchi zingine.
Sijui kuhusu Simba, lakini Yanga ni timu ya taifa.
Mwamposa kaanzisha ipi?
Hiyo timu haina mwenyewe, sanasana mapolisi tu kama ilivyo Simba.Na Taifa Stars je?
Wewe ni bwabwa.Wananchi fcView attachment 1545581