Simba na Yanga zilianzishwa na mzungu, klabu zetu tulizojenga ziko wapi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Leo hii nchi nzima ni aidha Yanga au Simba, hata watu ambao hawaishi Dar lakini ni washabiki wa Yanga au Simba kwanini? Wewe unaishi Mwanza au Arusha Yanga au Simba inakuhusu nini? Huko uliko kwani hakuna timu, kwa nini usitoe sapoti yako kwa timu yako ya nyumbani uliko? Hata mnaelewa maana ya football club kwanza?
 
Wananchi fc
tapatalk_1546940119668.jpg
 
Leo hii nchi nzima ni aidha Yanga au Simba, hata watu ambao hawaishi Dar lakini ni washabiki wa Yanga au Simba kwanini? Wewe unaishi Mwanza au Arusha Yanga au Simba inakuhusu nini? Huko uliko kwani hakuna timu, kwa nini usitoe sapoti yako kwa timu yako ya nyumbani uliko? Hata mnaelewa maana ya football club kwanza?
Hueanda hata nchi yako ilianzishwa na mzungu
 
Leo hii nchi nzima ni aidha Yanga au Simba, hata watu ambao hawaishi Dar lakini ni washabiki wa Yanga au Simba kwanini? Wewe unaishi Mwanza au Arusha Yanga au Simba inakuhusu nini? Huko uliko kwani hakuna timu, kwa nini usitoe sapoti yako kwa timu yako ya nyumbani uliko? Hata mnaelewa maana ya football club kwanza?

Mbona hata dini bado umekumbatia za waarabu na warumi na kubeza wanazoanzisha kina Mwamposa!
 
Simba na Yanga zikicheza ni daby la nchi nzima badala ya kwenye mji waliopo.
hii ni adimu sana kwenye nchi zingine.
 
Lakini zamani haikuwa hivyo, nakumbuka kuna kipindi Mikoani kulikuwa na Timu pia mfano Songea maji maji, Iringa Lipuli, Pamba Mwanza, Tanga ulikuwa huwaambii kitu kwenye Coastal Union na Afrikan sports, hata Dar yenyewe ilikuwa imegawanyika kuna waliokuwa wanashabikia pan afr. pia , n.k. lkn sijui nini kilitokea , sasa hivi hata watu wa Tanga wote ni Simba au Yanga, ...
 
Back
Top Bottom