Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Bahati inategemea na muda. Kwani Simba imeanza kushiriki michuano msimu wa 2018/2019 pekee? Si ilishashiriki michuano hiyo mara nyingi hapo kabla je kwanini miaka ya nyuma haikuweza kupata hiyo bahati? Ni sawa sawa na kwa Yanga kuna nyakati ilibahatika kufika mpaka hatua ya makundi ikawa mwisho wao hivyo ipo siku inaweza kubahatisha kufika hatua zaidi ya hiyo.Kama ilibahatisha kufika robo mbona utopolo hambahatishi mmfike
Kinachothibitisha Simba ilibahatisha ni namna walivyotolewa hatua ya awali kabisa. Yaani unapanda mpaka karibia ngazi ya mwisho halafu unaporomoka ghafla tu. Wakati aliyembeba ameenda hatua ya mbele yake zaidi. Au kunasababu ipi iliyopelekea Simba kutoweza kufika tena hatua Kama waliyofikia msimu wa nyuma yake?