Simba ndo giant wa Tanzania kwenye Mashindano ya CAF, msijisahaulishe

Simba ndo giant wa Tanzania kwenye Mashindano ya CAF, msijisahaulishe

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
856
Reaction score
1,662
Kipindi timu zetu zikihangaika katika Mashindano ya CAF , kila mara zilikuwa zikitolewa hatua za awali, ni Simba ndo alofufua matumaini ya vilabu vyetu kushiriki makundi na kufanikiwa kutinga robo fainali CAFCL alipoitungua AS vita 2 - 1 Benjamin mkapa.

_ Ni Simba ndo ilokusanya point nyingi na kusaidia ushiriki wa vilabu vinne Kwenye Mashindano ya CAF.

_ Ni Simba ndo imeipandisha hadhi league yetu kuwa katika 10 Bora barani Africa.

_ Ni Simba ndo imeleta ushindani Africa , mpaka sasa kuingia makundi au robo fainali kwa vilabu vyetu sio ishu kubwa kama zamani.

_ Simba ipo top ten ya vilabu Bora Africa.. No. 7.

Simba imejiwekea historia kubwa Africa kama mmoja wa mabwana wa Africa, kwahiyo msijisahaulishe.

Sasa utaskia watu wa nyuma mwiko wanaibeza Simba wakati ndo aloibeba league anayojitamba kachukua mara 30.

Tengenezeni historia mpya tuone kama mnaubavu huo.

N.b... fainali ya CAF Simba alishacheza wengine mlikuwa hata hamjulikani mtapotokea.

Simba.... Nguvu Moja💪
 
Yanga ni timu ya zamani sana imeanzishwa 1935 lakini hawana historia yoyote ya maana kwenye Cafcl

Topolo ni klabu ya siku nyingi sana almanusura ianzishwe kipindi yesu yupo Duniani..... ila historia pekee waliyonayo ni kufika fainali Cafcc kombe ambalo sisi wana simba tunalitumia kama Warm up tu ya timu yetu.
 
Yaani ushamba umewajaa siwashangai, shida viatu wamelilia sasa vinawabana
 
Yanga siku zote anaiga anachofanya Simba , hata yalipoanzishwa mashindano maalumu ya African soccer league na kushirikisha timu nane waliyabeza Ila wakaanza mkakati na wao washiriki mpaka wanatumia viongozi wa serikali.
Wakati Simba anafanya vizuri Africa wao walikuwa wanahangaika kununua jezi za wapinzani wa Simba na kuzipokea uwanjani.
Kombe analochexa Simba wao ndio walianza kupitia looser cup Ila waliposhiriki ilikuwa kelele halafu Sasa hivi wanaliita kombe la wamama wakisahau wanajitukana wenyewe
 
Mkuu hilo jina la looser cup tumeiga pia.
 
Back
Top Bottom