Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Kipindi timu zetu zikihangaika katika Mashindano ya CAF , kila mara zilikuwa zikitolewa hatua za awali, ni Simba ndo alofufua matumaini ya vilabu vyetu kushiriki makundi na kufanikiwa kutinga robo fainali CAFCL alipoitungua AS vita 2 - 1 Benjamin mkapa.
_ Ni Simba ndo ilokusanya point nyingi na kusaidia ushiriki wa vilabu vinne Kwenye Mashindano ya CAF.
_ Ni Simba ndo imeipandisha hadhi league yetu kuwa katika 10 Bora barani Africa.
_ Ni Simba ndo imeleta ushindani Africa , mpaka sasa kuingia makundi au robo fainali kwa vilabu vyetu sio ishu kubwa kama zamani.
_ Simba ipo top ten ya vilabu Bora Africa.. No. 7.
Simba imejiwekea historia kubwa Africa kama mmoja wa mabwana wa Africa, kwahiyo msijisahaulishe.
Sasa utaskia watu wa nyuma mwiko wanaibeza Simba wakati ndo aloibeba league anayojitamba kachukua mara 30.
Tengenezeni historia mpya tuone kama mnaubavu huo.
N.b... fainali ya CAF Simba alishacheza wengine mlikuwa hata hamjulikani mtapotokea.
Simba.... Nguvu Moja💪