"Simba nguvu moja." Tujadiliane namna ya kuwaua Waarabu na kuongoza Kundi D

 
Vipi na Yanga nasikia mmefuzu mmeingia kwenye hatua ya 16 bora ligi ya mabingwa ndondo cup..kutokana na droo iliyochezeshwa Group Z kuna timu za Yanga,Mashujaa,Lipuli na Tukuyu stars...kila la kheri wawakilishi wetu wa kimataifa yanga
Unadharau bure tu mshindi wa hilo kombe analiwakilisha taifa, Simba ndio keshapotea hivyo mwakani mchangani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ni timu ya kiswazi sana unawezaje kulidharau kombe la FA ambalo lina umuhimu almost kama ligi kuu.

Kama sio upumbavu na ushamba ni nini. Na mwakani wanacheza mchangani ndio watashika adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi ya mabingwa hatua ya makundi ni mwakani...mwaka gani huo unaosema watacheza mchanganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....kwa hiyo ulitaka timu iwachezeshe wachezaji tegemezi kwenye hizo ndondo wapate majeruhi alafu timu ishindwe kucheza kimataifa vizuri....kikosi cha kwanza kimecheza tarehe 23 afu tarehe 26 kuna mechi tena ya ndondi...mlitaka kocha achezeshe kikosi kilekile yamekuwa maroboti yale hayachoki???
 
Tukomae zaidi kwenye ligi kuu, tumeshafanya ulofa kwenye FA nafasi pekee iliyobaki ni ligi kuu ambayo nawapa Simba asilimia 30 kuchukua ubingwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadharau bure tu mshindi wa hilo kombe analiwakilisha taifa, Simba ndio keshapotea hivyo mwakani mchangani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anavyoiwakilisha nchi sahivi hatua ya makundi alishinda hilo kombe????kama usiposhinda hilo kombe basi wewe ni mchangani moja kwa moja sawa hata lililopita hakushinda sasa sjui sahivi yupo mchangani or matopeni
 
Lakini kuwauwa Mashujaa ni nafasi moja ya kufanikiwa kuliwakilisha taifa. Kubali tu Simba tumebugi tena kudharau kombe la FA

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ya Simba inawaza Caf kaka mkubwa
atleast tufike Nusu fainali
au ikiwezekana kombe tubebe ili mwakani tuweze kuingiza team 2 kama wenzetu
Zambia,congo,egypt,south Africa etc
simba tunaenda ki mahesabu kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Unapo ongelea mpira wa kimataifa usiwahusishe Wagogo wa Jangwani (Yanga)….wale hawana mira wowote.
 

Asante Mkuu kwa pongezi zako KemKem Kwangu na usijali zimefika. Tatizo la Watanzania wengi wanataka tu Kusikia upande mzuri ila ule mbaya hawautaki na ukisema utasikia wanaanza kusema Wewe ni Mnafiki na Msaliti. Labda nimsaidie tu huyo Mpumbavu / Popoma lysheer kuwa Mimi GENTAMYCINE siyo tu Mwana Simba SC bali nimecheza huu Mpira kwa Kiwango kizuri tu cha UMISETA na UMISHUMTA mpaka Ligi ngazi ya Daraja la Tatu hapo na natamani Teknolojia Kipindi hiko ingekuwepo ili anione kisha nadhani angeniheshimu.

Na sijaishia tu Kuucheza huo mpira bali hata katika Kamati ya Ulozi / Ndumba ( Ufundi wa Kiutamaduni ) ya Klabu yake ( yetu ) nimeshawahi kuwepo na nikimuhadithia hapa mambo ambayo nimewahi kufanya Simba SC yake ikawa Bingwa mwaka jana anaweza akaniogopa milele hapa. Yeye anashabikia Simba SC ila sidhani kama akiambiwa aje Kulala Taifa Kulinda Uwanja na kufanya mambo ya Ndumba / Ulozi anaweza. Tunaifanyia Simba SC yetu makubwa tena kwa Mapenzi yetu na hatuhitaji malipo / fadhila yoyote kutoka kwa Klabu.

Mwambie arudi kusoma Mada zangu mbalimbali za kuhusu Simba SC kisha mwambie je kuna ambayo nilisema jambo lolote hapa Jamvini na haikutokea kama ambavyo nilisema? Narudia tena kusema kwa Kundi hili la Kifo ambalo Simba SC tumepangiwa hatuna chetu sana sana tutaambulia tu Sare nyingi Dar es Salaam ila huko Ugenini kote Algeria, DRC na Egypt tutachezea Vichapo mno tu. Nimeelezea Kiufundi sana hapo juu na wala sina nia mbaya ila ukweli utabaki pale pale kwamba Kikosi cha Simba SC cha sasa kwa hilo Kundi ambalo tupo hatuwezi Kufurukuta.

Naomba hii post muitunze na hii Mada ( Thread ) iwepo ili baadae mje mjue kuwa kuna Watu ' tumebarikiwa ' Vitu vingi na Mwenyezi Mungu / Maulana / Mola. Na huyu Mjinga Mjinga hata akitaka nimpe hapa hapa na matokeo ya leo ya Mechi yetu la Ligi Kuu dhidi ya Singida United itakayoanza mnamo Saa 1 Usiku naweza kisha nadhani kuanzia hapo ndiyo ataniheshimu zaidi. Watu tumehangaika huku na kule hadi Simba SC yenu imekuwa Bingwa halafu leo mnaleta dhihaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…