ngajapo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 1,782
- 3,525
pambana na azamu kapu mkuu acha kuteseka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pambana na azamu kapu mkuu acha kuteseka
cha unafki kwani walivyokipiga na almasry last season walibeba vikapu vingapi.......ukiwa unaongopa weka na ushahidi basi..........zamalek walivyovuliwa ubingwa na simba wewe ulikuwa hujazaliwa au?Kuna Watu wanadhani nimekurupuka tu hapa Kuuweka huo uwazi. Al Ahly, AS Vita Club na JS Saoura siyo Njombe Mji wala JKT Oljoro ambazo unajipigia tu unavyotaka. Ushindi wa Simba SC katika hizo Timu zote hapo ni Sare ( Draw ) tena hapa kwa Mchina Taifa ila huko Kwao tukienda itabidi tuwe tunafanya ' Shopping ' ya Vikapu pale Karume Ilala ili hayo Magoli tutakayokuwa tunafungwa huko tuwe tunayahifadhi humo.
Nyinyi yanga mmepata chaka la kujifichia kila jambo linalohusu Mnyama Simba nyinyi mmekazana na mashujaa tu kwani hamuwezi kumsapoti Bingwa wa nchi anayemiwakilisha kimataifa bila kumtaja huyo shujaa wenu yaani nakaa najiuliza itakuaje siku ambayo ikatokea mkabahatisha kuifunga Simba japo najua haiwezekani ila naona mtakufa kwa furaha vyura nyie.😀😀😀 halafu ulimisika ujue? Kweli Mashujaa si watu wazuri.
Mtani sijui kama hizi sio hasira za gurupu ulilopangiwa. 😀😀😀 Mzima lakini?Nyinyi yanga mmepata chaka la kujifichia kila jambo linalohusu Mnyama Simba nyinyi mmekazana na mashujaa tu kwani hamuwezi kumsapoti Bingwa wa nchi anayemiwakilisha kimataifa bila kumtaja huyo shujaa wenu yaani nakaa najiuliza itakuaje siku ambayo ikatokea mkabahatisha kuifunga Simba japo najua haiwezekani ila naona mtakufa kwa furaha vyura nyie.
Mimi mzima kabisa sijui wewe mtani wangu?Mtani sijui kama hizi sio hasira za gurupu ulilopangiwa. 😀😀😀 Mzima lakini?
Natafakari hapa ni kwa namna gani tutaweza kuondoka na point tisa za nyumbani kwenye hili kundi la kifo maana ni balaaMtani sijui kama hizi sio hasira za gurupu ulilopangiwa. 😀😀😀 Mzima lakini?
Poleni sana ndio Ukubwa huo. Ila inawezekana mkikomaa zaidi ya mlivyomkomalia Nkana.Natafakari hapa ni kwa namna gani tutaweza kuondoka na point tisa za nyumbani kwenye hili kundi la kifo maana ni balaa
Mie Alhamdulillah niko poa kabisa. Naitafakari mechi ya saa 10 tu hapa. 😀😀Mimi mzima kabisa sijui wewe mtani wangu?
n
na wewe tumekuchoka kila siku hayohayo ,rejea thread yako dhidi ya NKANA ni mwendo wa kukatishana tamaa na timu ikatoboa..............sasa hivi umekuja na yaleyale,askari harudi nyuma kizembe katika mapambano mjomba,umeingia katika mapambano pambana na sio kuwakatisha tamaa wenzio aseeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhh
tatizo lako uchawi umeuweka mbele sana,uchawi ungekuwa unacheza basi NIGERIA ingebeba kombe la dunia na manyaunyau angekuwa kama MO au BAKHRESSA.........................
SIMBA NGUVU MOJA
Kawaaminishe hivyo wanaokumini we wa kawaida sana mbele ya simba huna lolote unajikweza tuu ili watu wajue we mjuaji wakati ni zero kabsa. Kwani simba hawezi kusajili/kuongezea wachezaji wazuri kama wanavyosajili hao unaowatukuza.
Bora wameuunganisha huu uzi wa kipopoma, hao the so called waarabu wachezaji wao Wana miguu mingapi na Simba wachezaji wao Wana miguu mingapi?? Acha kukariri ujinga wewe mbwiga!Ni Popoma / Mpumbavu tu ndiye atabisha na kujifanya anajitutumua kwa kusema kuwa Simba SC itafanya vizuri mbele ya Wapinzani wake katika Makundi Klabu Bingwa Afrika akina JS Saoura ya Algeria, AS Vita Club ya DRC na Al Ahly ya Misri ambalo Kwangu Mimi ndiyo naliona kama Kundi la Kifo ( au la Mauwaji kabisa )
Mtanisamehe wana Simba SC wenzangu najua ukweli wangu huu utakuwa mchungu Kwenu na utawaumeni mno ila mnivumilie tu na muupokee kama ambavyo huko nyuma nilikuwa nawapeni ukweli na matumaini katika mechi za ndani na hata ile ya Nkana Red Devil.
Hapa hatuna chetu tena kwa 100% ila nawaomba Simba SC waitumie hii michezo na hizo Timu kama sehemu ya Kuwatangaza vyema Wachezaji wetu ili basi waanze Kuonekana na Vilabu vikubwa ama vya Afrika hapa hapa au vile vya Ulaya kusudi tuwauze, tuingize Pesa na tusajili Wachezaji wapya wakubwa na wazuri.
Kwa sasa hivi hii Michuano tuichukulie kama sehemu yetu ya Kujifunza mambo mbalimbali na hasa kupata Uzoefu zaidi ili basi kama na Msimu huu tutabahatika Kuchukua Kombe la Ligi basi Michuano ijayo ya Klabu Bingwa tuingie huku tukiwa tumeshajikamilisha na kujiandaa kwa kila Kitu.
Tusidanganyane Simba SC ya sasa haina ubavu wa Kupambana na hizo Timu zote hapo juu hasa kutokana na sababu Kuu za Kiufundi. Kwa Simba SC ya Beki Pascal Serge Wawa, kwa Simba SC iliyokurupuka Kumsajili Beki Zana Coulibaly, kwa Simba SC yenye Kiungo kama James Kotei ambaye huwa anakata Upepo ( anaishiwa Pumzi ) haraka, kwa Simba SC ambayo ina Kipa Aishi Manula ambaye anafungwa aina ile ile ya Magoli ya Kizembe kabisa kama si ya Kitoto, kwa Simba SC ambayo Kipa wake wa akiba Deogratius Munishi ambaye hajielewi anafanya au anataka nini, kwa Simba SC ambayo ina Winga Shiza Kichuya ambaye Siku hizi Ushamba wote wa Morogoro umemtoka na Kumbi zote za Starehe za Dar anazijua, kwa Simba SC ya Mshambuliaji kama John Boko ambaye kama Mshambuliaji akikabwa tu njiani huwa hana Plan B na kwa Simba SC ambayo hadi hivi leo Kocha Patrick Aussems hana bado First Eleven yake na wala Msaidizi wake kamwe tusitegemee kufanya vyema katika Makundi.
Tunaoujua mpira vyema, Watoto wa mjini, Wazee wa Fitna na tuliocheza mpira kidogo hata kama huko Ligi Kuu hatukufika kwakuwa tulikuwa na Majukumu mengine ya Kimaisha na Kimtazamo kwa CAF kutupangia hizo Timu Nne ( 4 ) tusidanganyane wala kupeana Moyo ' Kingumbaru / Kijinga ' bali hapo ni rasmi Mbuzi ( SSC ) kafia kwa Wauza Supu Watatu mmoja wa Algeria ( Mwarabu ) , mwingine Mkongo na mwingine Mmisri ( Mwarabu )
Akili zetu sasa tuzielekeze mno katika Ligi Kuu ambayo nayo kwa jinsi ninavyoona kama tusipokuwa makini basi Yanga SC au Azam FC watachukua Kombe kwani Kimpira, Kimbinu, Kimkakati na hadi Kisaikolojia wapo vizuri sana kuliko Sisi Simba SC ambao muda mwingi tunakuwa tupo tu katika Presha na tusipotulia Msimu ujao kama kuna Kombe ambalo tutashiriki basi litakuwa ni la MBUZI MAPINDUZI CUP na UPUUZI SPORTS PESA CUP.
Yangu GENTAMYCINE ni hayo tu na mtanisamehe kwa wale ambao ukweli wangu huu utawaumiza ila muuchukue tu!
Nawasilisha.
bumbaaaaaaaav kwani wewe nani hapa mpaka usipingwe shwain...ukileta ujuaji tunakukabia juu kiazi weweYou're a typical CERTIFIED FOOL on this Forum.
huyu jamaa huwaga ni mburura sana aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhh mkuu,na mods wameona kathread kakikolo ndio maana wamekiunganisha huku wameshamstukia huyu bichwabox kama ni empty setBora wameuunganisha huu uzi wa kipopoma, hao the so called waarabu wachezaji wao Wana miguu mingapi na Simba wachezaji wao Wana miguu mingapi?? Acha kukariri ujinga wewe mbwiga!
Wana wachezaji 11 uwanjani na Simba ina wachezaji 11. Balanced
Kwa ufupi hata kama tungepangwa na Barcelona au Chelsea bado lolote linaweza kutokea kufungwa, draw au kushinda!
SASA wewe unatutishia aly ahly waliopo nafasi ya 7 kwenye ligi Yao? Au hawa sauora sijui wapo namba 5 hukooo??
Labda kidogo Vita club wapo solid kiasi lakini wao wasijidanganye!
Sent using Jamii Forums mobile app
swadakta mkuu ,haya ndio maneno lakini sio anatokea mjinga mmoja anataka kukatisha watu tamaa na kuwatoa katika malengo ya msingi kwa kujifanya mjuaji wakati mpira wenyewe anaangalia livescore na kwenye betting forumsHoja ilikuwa tuchangie mawazo ya kuwashinda wapinzani.
Ni kweli Simba itakuwa na madhaifu lakini sio kwamba hayarekebishiki japo sio kwa 100%.
Hata hizo timu pinzani zina madhaifu yao vilevile.
Simba ifuatilie au ipeleleze mbinu na udhaifu wa hizo timu na kufanyia kazi.
Mengine ya kiufundi yajazwe na wataalam wa mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije kuikana baadae hii comment!