"Simba nguvu moja." Tujadiliane namna ya kuwaua Waarabu na kuongoza Kundi D

Acha Upuuzi Soma Uzi wangu wote kiukamilifu na uuelewe tafadhali. Acha Kukurupuka na kuwa na Kimbelembele kama Kimba la alfajiri.
wewe ndio kimbelembele mara nkana tutawafunga tukifanya hivi kwa maagizo ya mganga tatizo unajifanya unajua kila kitu na hutaki ukosolewe rudi kwenu rwanda
 
wewe ndio kimbelembele mara nkana tutawafunga tukifanya hivi kwa maagizo ya mganga tatizo unajifanya unajua kila kitu na hutaki ukosolewe rudi kwenu rwanda

Siyo Kosa langu bali ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer "
 
Kinachokera wanaruhusu sana magoli simba sasa hizo timu na washambuliaji wao walivyo timamu itakuwaje?
 
Kinachokera wanaruhusu sana magoli simba sasa hizo timu na washambuliaji wao walivyo timamu itakuwaje?

Kuna Watu wanadhani nimekurupuka tu hapa Kuuweka huo uwazi. Al Ahly, AS Vita Club na JS Saoura siyo Njombe Mji wala JKT Oljoro ambazo unajipigia tu unavyotaka. Ushindi wa Simba SC katika hizo Timu zote hapo ni Sare ( Draw ) tena hapa kwa Mchina Taifa ila huko Kwao tukienda itabidi tuwe tunafanya ' Shopping ' ya Vikapu pale Karume Ilala ili hayo Magoli tutakayokuwa tunafungwa huko tuwe tunayahifadhi humo.
 
Hivi ktk last 16 kuna timu ulitegemea s8mba itapewa alafu itakuwa mteremko kwa simba?
 
Ulikuwa unapendekeza timu zipi zipangiwe na simba?
 
Nakuelewa sana GENTAMYCINE ukweli na uwazi ndo unatakiwa HV...
 
n
na wewe tumekuchoka kila siku hayohayo ,rejea thread yako dhidi ya NKANA ni mwendo wa kukatishana tamaa na timu ikatoboa..............sasa hivi umekuja na yaleyale,askari harudi nyuma kizembe katika mapambano mjomba,umeingia katika mapambano pambana na sio kuwakatisha tamaa wenzio aseeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhh
tatizo lako uchawi umeuweka mbele sana,uchawi ungekuwa unacheza basi NIGERIA ingebeba kombe la dunia na manyaunyau angekuwa kama MO au BAKHRESSA.........................


SIMBA NGUVU MOJA
 
Kawaaminishe hivyo wanaokumini we wa kawaida sana mbele ya simba huna lolote unajikweza tuu ili watu wajue we mjuaji wakati ni zero kabsa. Kwani simba hawezi kusajili/kuongezea wachezaji wazuri kama wanavyosajili hao unaowatukuza.
 
! mbele ya AL-Arabs..!! SSC itashika mkia mrefuuuuu......Good luck kwa miujiza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…