"Simba nguvu moja." Tujadiliane namna ya kuwaua Waarabu na kuongoza Kundi D

a
cha unafki kwani walivyokipiga na almasry last season walibeba vikapu vingapi.......ukiwa unaongopa weka na ushahidi basi..........zamalek walivyovuliwa ubingwa na simba wewe ulikuwa hujazaliwa au?
timu ni mbovu ndio lakini sio kwa kiasi hiko unachotaka kuwaaminisha watu......punguza UJUHAji
 
😀😀😀 halafu ulimisika ujue? Kweli Mashujaa si watu wazuri.
Nyinyi yanga mmepata chaka la kujifichia kila jambo linalohusu Mnyama Simba nyinyi mmekazana na mashujaa tu kwani hamuwezi kumsapoti Bingwa wa nchi anayemiwakilisha kimataifa bila kumtaja huyo shujaa wenu yaani nakaa najiuliza itakuaje siku ambayo ikatokea mkabahatisha kuifunga Simba japo najua haiwezekani ila naona mtakufa kwa furaha vyura nyie.
 
Katika hatua ya makundi kila timu n Nzur hakuna kibonde apo kwenye makundi kwa upande wa simba naona sehem Yenye shida n kwenye beki wa Kati apo tu
 
Mtani sijui kama hizi sio hasira za gurupu ulilopangiwa. 😀😀😀 Mzima lakini?
 
Mikia mkifikisha point 2 kwenye hilo group nipigwe ban wiki 2.

Sent using Jamii Forums mobile app



2003 group stage Simba ilipangwa na Enyimba,Asec na Ismailia,pamoja na kuinekana kundi kuwa gumu,Simba ilimaliza kundi ukiwa na Alana 7 tena ilibaki kidogo tu ifudhu robo fainali baada ya game ya Mwisho iliyochezwa coted'ivoire kuisha kwa kufungwa goli 4:3.
 

You're a typical CERTIFIED FOOL on this Forum.
 
Kawaaminishe hivyo wanaokumini we wa kawaida sana mbele ya simba huna lolote unajikweza tuu ili watu wajue we mjuaji wakati ni zero kabsa. Kwani simba hawezi kusajili/kuongezea wachezaji wazuri kama wanavyosajili hao unaowatukuza.

Another CERTIFIED FOOL.
 
Hoja ilikuwa tuchangie mawazo ya kuwashinda wapinzani.

Ni kweli Simba itakuwa na madhaifu lakini sio kwamba hayarekebishiki japo sio kwa 100%.
Hata hizo timu pinzani zina madhaifu yao vilevile.
Simba ifuatilie au ipeleleze mbinu na udhaifu wa hizo timu na kufanyia kazi.

Mengine ya kiufundi yajazwe na wataalam wa mpira.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wameuunganisha huu uzi wa kipopoma, hao the so called waarabu wachezaji wao Wana miguu mingapi na Simba wachezaji wao Wana miguu mingapi?? Acha kukariri ujinga wewe mbwiga!

Wana wachezaji 11 uwanjani na Simba ina wachezaji 11. Balanced

Kwa ufupi hata kama tungepangwa na Barcelona au Chelsea bado lolote linaweza kutokea kufungwa, draw au kushinda!

SASA wewe unatutishia aly ahly waliopo nafasi ya 7 kwenye ligi Yao? Au hawa sauora sijui wapo namba 5 hukooo??

Labda kidogo Vita club wapo solid kiasi lakini wao wasijidanganye!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jamaa huwaga ni mburura sana aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhh mkuu,na mods wameona kathread kakikolo ndio maana wamekiunganisha huku wameshamstukia huyu bichwabox kama ni empty set
 
swadakta mkuu ,haya ndio maneno lakini sio anatokea mjinga mmoja anataka kukatisha watu tamaa na kuwatoa katika malengo ya msingi kwa kujifanya mjuaji wakati mpira wenyewe anaangalia livescore na kwenye betting forums
 
Mwaka jana Almasry waarabu wa Misry waliitoa Simba kisheria tu yaani droo zote kwenye shirikisho yaani..Simba 2...Almasry 2.. Tanzania Na Almasry 0...Simba0..Egypt wakapita kwa goli la ugenini na waliishia nusu fainali.

Kuhusu Nkana fc mbali na kupambwa sana hawakupiga kona mpaka dakika 70+ hapo taifa na wakatolewa Simba hiyo hiyo.

Kuhusu Zamalek Sina Mengi ya kuongea lakini football ingekuwa rahisi kama unavyofikiria wewe wazee wa betting wangekua matajiri wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…