Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
Simba na Yanga ni timu zenye upinzani mkubwa.
Lakini Maelezo haya yanaweza kukuonyesha ni kwa namna gani hali zao halisi zilivyo nje ya uwanja.
Yanga haina app, wala tovuti yake binafsi.Simba wanazo.
Simba inanufaika na Majengo yake mawili mtaa WA msimbazi kwa kupata kodi ya kifedha kariakoo na msimbazi kiasi cha shilingi Mili350.
Yanga jengo lake la jangwani ni ofisi. Hivyo Haipati pesa yoyote.
Simba inanufaika na Biashara ya jezi.kupitia kampuni ya AiG.
Yanga haina biashara yoyote. Inategemea Makada zaidi.[emoji125][emoji23]
Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it.[emoji119](Data zipo)_[emoji118]
Simba IPO vizuri kiusajili kwasababu wana pesa[emoji383] . yanga ni wachovu sana.[emoji23].
Labda kitu pekee ambacho YANGA inaizidi Simba ni UWANJA.
Yanga wana Uwanja wao wakufanyia training ulioko Mjini. Simba wanao uwanja LAKINI upo nje ya mji.
Notabene.
Viwanja hivi viwili bado havisogei kwa uwanja Bora WA Azam FC.
Source TV 1
Kwa mazingira haya, Timu ya Simba ina thamani, hivyo ni ghali Zaidi kuliko Yanga.