Simba ni Bora kuliko Yanga nje na ndani ya uwanja.

Simba ni Bora kuliko Yanga nje na ndani ya uwanja.

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,504
Simba na Yanga ni timu zenye upinzani mkubwa.
Lakini Maelezo haya yanaweza kukuonyesha ni kwa namna gani hali zao halisi zilivyo nje ya uwanja.

Yanga haina app, wala tovuti yake binafsi.Simba wanazo.

Simba inanufaika na Majengo yake mawili mtaa WA msimbazi kwa kupata kodi ya kifedha kariakoo na msimbazi kiasi cha shilingi Mili350.

Yanga jengo lake la jangwani ni ofisi. Hivyo Haipati pesa yoyote.

Simba inanufaika na Biashara ya jezi.kupitia kampuni ya AiG.

Yanga haina biashara yoyote. Inategemea Makada zaidi.[emoji125][emoji23]

Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it.[emoji119](Data zipo)_[emoji118]

Simba IPO vizuri kiusajili kwasababu wana pesa[emoji383] . yanga ni wachovu sana.[emoji23].

Labda kitu pekee ambacho YANGA inaizidi Simba ni UWANJA.

Yanga wana Uwanja wao wakufanyia training ulioko Mjini. Simba wanao uwanja LAKINI upo nje ya mji.

Notabene.
Viwanja hivi viwili bado havisogei kwa uwanja Bora WA Azam FC.

Source TV 1
Kwa mazingira haya, Timu ya Simba ina thamani, hivyo ni ghali Zaidi kuliko Yanga.
 
UWANJA WA MJINI!

yanga-uwanjani.jpg
 
Nenda kaulize tena timu gani ina mashabiki wengi kati ya yanga na hao mikia fc Fifa fc
 
Hahahaha inachekesha kwa kweli,mbumbumbu wana shida sana
 
".....Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it.
emoji119.png
(Data zipo)_
emoji118.png
"

Weka hizo data hapa tuone la sivyo uzushi
 
Katibu wa Cecafa Nicolas Musonye anajua timu gani ina mashabiki wengi Tanzania.
Wauza magazeti hasa ya michezo wanajua kupitia biashara zao ni ipi ina mashabiki wengi Tanzania.
 
Katibu wa Cecafa Nicolas Musonye anajua timu gani ina mashabiki wengi Tanzania.
Wauza magazeti hasa ya michezo wanajua kupitia biashara zao ni ipi ina mashabiki wengi Tanzania.
kweli aisee huyu jamaa mzushi
 
Haya ndiyo Mbumbumbu FC mnayaweza...

Ubora wa timu unapimwa na mafanikio na si upuuzi uliowemwa na muanzisha thread...

Hapa uwanja wa Uhuru sasa hivi ni Half Time..

Simba 0-1 Mtibwa Sugar..
 
Mill 350 kwanini sasa msimiliki uwanja wenu bana, kazi kugongea vya taifa tu
 
Duu ngoja niendelee kuomba ili mtibwa tushinde hii mechi. Naipenda sana timu yangu ya Mtibwa!!
 
Back
Top Bottom