Simba ni Bora kuliko Yanga nje na ndani ya uwanja.

".....Simba Ina mashabiki wengi zaidi nchini kuliko Yanga. Simba inafuatiliwa zaidi mitandaoni kuliko Yanga kuanzia twitter, Instagram, Facebook, Whatsup, you name it. (Data zipo)_ "


Weka hizo data hapa tuone la sivyo uzushi
Mkuu, hana data. Data bank yao ni Haji Manara. Akisema lolote hawapati muda wa kujiuliza. Ni kuamini tu
 
Yanga wababaishaji mno
Yanga inao uwezo wa kwenda mbele ya Simba na tumeshadhihirisha hilo kwa rundo la makombe tuliochukua almost 10 zaidi yenu. Sasa unawezaje kusema tunabahatisha kama kweli mzima kichwani wewe?

Sisi tunasubiri ukaribie mwisho wa msimu ndio tufanye yetu tupate kuandikwa kwa ile headline yetu pendwa....





 

Timu ya nchi hyo ubabaishaji tuu

Simba ndo chama la wana japo haipewi nafasi ila ipo siku mtaiona international
 
Tv1?
 
Timu ya nchi hyo ubabaishaji tuu

Simba ndo chama la wana japo haipewi nafasi ila ipo siku mtaiona international
Haipewi nafasi? Mmekaa mnasubiri kupewa? Kumbe Manara hakuwa anatania kudai points za Kagera Sugar 'mpewe' nyinyi ilhali mmekung'utwa 2-1 uwanjani?!!!

Internationally, hicho kilabu chenu cha sokoni ni 'mama wa nyumbani' maana Simba Koko hajawahi kuvuka mpaka na kombe...labda msubiri mkoa wa Zanzibar utakapopata hadhi ya kuwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…