Simba ni moja ya timu mbili tu kati ya timu NANE (8), zilizofanikiwa kushinda mechi ya kwanza ya robofainal confederation cup.

Issue si kushinda hiko kigoli kimoja Cha mchongo.. issue huko SA ataweza kutoboa kweli na huo Mpira alionao..?
Kwani kwenye hatua ya makundi hadi alipofika hapa alikuwa hachezi ugenini? South anatoboa vizuri tu maana approach za mchezo zipo nyingi.

Ingia uwanjani ulinde ushindi wako kwanza. Wakisawazisha unafunguka ili nao wajilinde wasiruhusu goli.

Hiyo ni advantage ya kwenda penalty ambayo yeyote atakayetumia penati vema anafuzu.
 
Hana record za kushinda. Basi tufanye safari hii atashinda kwa mara ya kwanza 😁
 
Back
Top Bottom