Kwani kwenye hatua ya makundi hadi alipofika hapa alikuwa hachezi ugenini? South anatoboa vizuri tu maana approach za mchezo zipo nyingi.
Ingia uwanjani ulinde ushindi wako kwanza. Wakisawazisha unafunguka ili nao wajilinde wasiruhusu goli.
Hiyo ni advantage ya kwenda penalty ambayo yeyote atakayetumia penati vema anafuzu.