Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Gusa achia twende home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishindwa kufika robo alitolewa kabla hajafika makundi ndio akaenda shirikisho akafika fainali,msimu uliopita ndio alibahatisha akafika robo,msimu huu hata robo hajafika so hana uwezo wa kufika robo consistency kama simbaMwakarobo ni kila mwaka anaishia robo ikute na hii ataishia robo mtani,sasa yanga hayupo huko hana sehemu maalum anaishiaga amefika final , ameishia robo , akaishia makundi
Yanga SC Mwamakundi SCSimba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.View attachment 3205635
Mwamakundi SCMwakamakundi FC
Mwamakundi limekaa poa!!Mwamakundi SC
Jibu muruwa kabisaMwakarobo ni kila mwaka anaishia robo ikute na hii ataishia robo mtani,sasa yanga hayupo huko hana sehemu maalum anaishiaga amefika final , ameishia robo , akaishia makundi
Sasa consistency kama simba imetoka wapi zingatia swali la mtoa madaAlishindwa kufika robo alitolewa kabla hajafika makundi ndio akaenda shirikisho akafika fainali,msimu uliopita ndio alibahatisha akafika robo,msimu huu hata robo hajafika so hana uwezo wa kufika robo consistency kama simba
MwanamakundiSimba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.View attachment 3205635
Au mwanakikundiMwanamakundi
Ibenge mhuni sana yule.Ibenge aliwauza 🐸 akapiga zake kibunda
Ni vibaka waliofurushwa ngomani kuhofia wezi wa simu.Simba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.View attachment 3205635
Msindikizaji wa kundiSimba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.View attachment 3205635