Simba ni mwakarobo, je Yanga ni mwaka?

Simba ni mwakarobo, je Yanga ni mwaka?

Mwakarobo ni kila mwaka anaishia robo ikute na hii ataishia robo mtani,sasa yanga hayupo huko hana sehemu maalum anaishiaga amefika final , ameishia robo , akaishia makundi
Alishindwa kufika robo alitolewa kabla hajafika makundi ndio akaenda shirikisho akafika fainali,msimu uliopita ndio alibahatisha akafika robo,msimu huu hata robo hajafika so hana uwezo wa kufika robo consistency kama simba
 
Sasa consistency kama simba imetoka wapi zingatia swali la mtoa mada
 
Back
Top Bottom