Simba ni timu isiyo na furaha, ona hapa!

Simba ni timu isiyo na furaha, ona hapa!

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hali yao ni ngumu sana, hebu watizame usoni utagundua hili

Furaha wataipata wapi! Misimu miwili mfululizo wamekosa hata lile kombe la bonanza la Mapinduzi!

Furaha iko kwa wananchi bhana.
 
Kifupi Simba kuna gogoro kuuuubwa ajabu!!! nami ninawahakikishia kuwa moto utawaka soon.
 
Hali yao ni ngumu sana, hebu watizame usoni utagundua hili

Watu wanawaza Supercup maana huko ni muziki mwingine. Yanga naye yupo supercup? wamefanya vizuri kuliko Simba kwa mechi za kimataifa. Ha ha ha ha ha
Supercup ni muhuli wa moto.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
hivi mbeya anakuwa na furaha au tatizo la akili
Simba ni vuluvulu Sasa hivi, hakuna anaeaminika kwa lolote kwa chochote. Jamii imeacha kuamini kila taarifa kutoka Simba Sasa hivi. Taarifa zao nyingi ni fix, Zina uingo.
 
Simba ni vuluvulu Sasa hivi, hakuna anaeaminika kwa lolote kwa chochote. Jamii imeacha kuamini kila taarifa kutoka Simba Sasa hivi. Taarifa zao nyingi ni fix, Zina uingo.
ule usajili wenu wa Chama umeishia wapi ukishanijibu ndio nitajibu utumbo ulioandika
 
ule usajili wenu wa Chama umeishia wapi ukishanijibu ndio nitajibu utumbo ulioandika
Hakuna kiongozi wa Yanga amesema Chama anasajiliwa na Yanga.

Simba Sasa hivi hakuna anaeaminika hata kwa wanasimba wenyewe. Hebu Ona jezi ziko wapi mpaka sasa? 20b? Morrison kuachwa? Mkude? Dejan?
 
Hali yao ni ngumu sana, hebu watizame usoni utagundua hili

.
20230515_171727.jpg
 
Back
Top Bottom