SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.
Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Waarabu kutoka Afrika Kaskazini, hii ya Simba na Al Ahly Tripoli ni mara ya kwanza. Kama hilo limewahi kutokea niambie ni lini.
Ubora wa timu kwa kuangalia rank ndiyo unaotumiwa na CAF kwenye upangaji wa ratiba na kuamua nani aanze ugenini na nani aanze nyumbani.
Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
adriz changaule