Simba ni timu ya kwanza katika historia kuanzia ugenini dhidi ya Waarabu

Simba ni timu ya kwanza katika historia kuanzia ugenini dhidi ya Waarabu

Na Ngoma ka dis apia eyapoti.

Na atofautishe Jumuia ya Kiarabu na OIC. Zanzibar Wala Tanzania haijawahi kua na ndoto ya namna hiyo.
Nilikuwa nasubiri mtu anikosoe kwenye hilo ilikuwa ni kauli ya kupima watumiaji wa JF ni kina nani, nashangaa imechukua siku mbili mtu kujitokeza kunirekebisha. Haya, Tanzania ni nchi ya kiislamu?
 
Nilikuwa nasubiri mtu anikosoe kwenye hilo ilikuwa ni kauli ya kupima watumiaji wa JF ni kina nani, nashangaa imechukua siku mbili mtu kujitokeza kunirekebisha. Haya, Tanzania ni nchi ya kiislamu?
Nashindwa nianzie wapi. Nahisi kama nitajichosha Bure. Lakini hata hivyo, kwa ufupi sana, Tanzania si nchi ya Kiarabu Wala si nchi ya Kiislamu.
Enhe ndugu ulitaka kujenga hoja gani tukusaidie?
 
Nashindwa nianzie wapi. Nahisi kama nitajichosha Bure. Lakini kwa ufupi sana, Tanzania si nchi ya Kiarabu Wala si nchi ya Kiislamu.
Sahihi kabisa na wala usijichoshe kujielezea ila elewa kwa nini niliuliza hilo swali
 
Soma post ya kwanza, nimesema specifically timu za kaskazini na pia nikasema mechi za mtoano, sasa nashangaa mnataja djibouti na hatua ya makundi.

Na si kweli Somalia na Djibouti hazijawahi kutambulika kama nchi za kiarabu.
na ukasema kabisa kombe la looser
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Miso Misonda SC.
22. Kufa Kiume SC. View attachment 3097585
Zezeta mwingine huyu...😀😀
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Miso Misonda SC.
22. Kufa Kiume SC. View attachment 3097585
23.Masandakolouzdadi
 
Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.

Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Waarabu kutoka Afrika Kaskazini, hii ya Simba na Al Ahly Tripoli ni mara ya kwanza. Kama hilo limewahi kutokea niambie ni lini.

Ubora wa timu kwa kuangalia rank ndiyo unaotumiwa na CAF kwenye upangaji wa ratiba na kuamua nani aanze ugenini na nani aanze nyumbani.

Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

adriz changaule
Mpira ulianza kushabikia lini ?,2008 yanga vs al akhdar ya libya mechi ilichezwa libya ikaisha 1-1 na marudiano taifa tukafungwa 1-0
 
Back
Top Bottom