Simba ni timu ya kwanza katika historia kuanzia ugenini dhidi ya Waarabu

Ni swala la ratiba ila hakuna kitu cha ajabu hapo, kwenye klabu bingwa kuna timu kutoka huko kaskazini ambazo Yanga imeizidi point na kama draw ingekuwa dhidi yao basi Yanga ingeanzia ugenini. Timu hizo ni Pyramids, Far Rabat, Mc Alger, Monastir, Al Ahly Benghazi.

Somalia na Djibouti ni inchi za kiarabu usiwe mbishi wakati hujui na hutaki kujifunza.

View attachment 3096913
Kujiunga na jumuiya za kiarabu hakukufanyi wewe kuwa mwarabu, wakati mwingine ni njaa tu. Tanzania kama siyo Zanzibar ilitaka kufanya hivyo miaka ya nyuma, je sisi ni waarabu?
 
Hujaelewa alichomaanisha

Sababu kuu ya yeye kusema hivyo ni kutokana na utofauti wa madaraja kati yetu na waarabu.

Waarabu ni mataifa ambayo yametuacha mbali kwenye soka na kwa miaka mingi tumekuwa chini yao.

Na kwakuwa CAF wanapanga match kwa kumpa advantage mkubwa ya kuanzia ugenini basi mara nyingi kila tulipokutana na timu za uarabuni sisi tulianzia nyumbani.

Sasa kitendo cha Simba kuanzia ugenini kimeonesha moja kwa moja kuwa Simba imekuwa ni Club kubwa ambayo imeweza kupewa heshima mbele ya wale waarabu ambao siku zote tumekuwa chini yao.
Umejaribu kumwelewesha mjinga asiyetaka kuelewa. Usipoteze muda wako na mtu kama huyo.
 
Kujiunga na jumuiya za kiarabu hakukufanyi wewe kuwa mwarabu, wakati mwingine ni njaa tu. Tanzania kama siyo Zanzibar ilitaka kufanya hivyo miaka ya nyuma, je sisi ni waarabu?
Jumuiya ya kiarabu huwezi kujiunga hivi hivi bila vigezo na pia kuwa taifa la kiarabu huwa kuna mambo kadhaa ni lazima 1) kutumia lugha ya kiarabu (2) mila na utamaduni (3) Race

Somalia na Djibouti wanatumia kiarabu kama lugha yao rasmi.
Wasomali wanatumia kisomali na kiarabu.
Djibouti wanatumia kifaransa, kiarabu.

Na jambo la mwisho nimekwambia kuwa tarehe 8/10/2022 Azam alicheza ugenini huko huko Libya dhidi ya Al akhdar hivyo Simba sio ya kwanza umekurupuka kama kawaida yako kuanzisha mada sizizo na maana.
 
Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.

Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Waarabu kutoka Afrika Kaskazini, hii ya Simba na Al Ahly Tripoli ni mara ya kwanza. Kama hilo limewahi kutokea niambie ni lini.

Ubora wa timu kwa kuangalia rank ndiyo unaotumiwa na CAF kwenye upangaji wa ratiba na kuamua nani aanze ugenini na nani aanze nyumbani.

Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

adriz changaule
Sie hadi wakulungwa waliingilia kati kwenye mechi huko sauzi, hayo mambo yakurushiwa makopo na waarabu mbona madogo tu,,,,,,uliona ile fujo sauzi lilitandika bonge la radi hadi game ikabidi itulie kwanza,,,,,hio ndo fujo sasa
 
Jumuiya ya kiarabu huwezi kujiunga hivi hivi bila vigezo na pia kuwa taifa la kiarabu huwa kuna mambo kadhaa ni lazima 1) kutumia lugha ya kiarabu (2) mila na utamaduni (3) Race

Somalia na Djibouti wanatumia kiarabu kama lugha yao rasmi.
Wasomali wanatumia kisomali na kiarabu.
Djibouti wanatumia kifaransa, kiarabu.

Na jambo la mwisho nimekwambia kuwa tarehe 8/10/2022 Azam alicheza ugenini huko huko Libya dhidi ya Al akhdar hivyo Simba sio ya kwanza umekurupuka kama kawaida yako kuanzisha mada sizizo na maana.
Sasa ukipewa masharti ya kujiunga na jumuiya unayotaka kuwa sehemu yake si unatekeleza ili utilize hivyo vigezo kama bado hauna? Kwa hiyo unaitaja Djibouti kisa mlicheza na kile kitimu cha mchongo cha kutoka huko, aisee?

Nimekwambia Tanzania tulitaka kujiunga na hizo jumuiya, je sisi ni waarabu? Tanzania kiingereza ni lugha rasmi ila tembea mtaani ongea kiingereza uone watu watakavyokuzodoa. Achana na mtaani, humu tu mnapojifanya waelewa, andika kwa kiingereza uone kebehi utakazokutana nazo.
 
Sie hadi wakulungwa waliingilia kati kwenye mechi huko sauzi, hayo mambo yakurushiwa makopo na waarabu mbona madogo tu,,,,,,uliona ile fujo sauzi lilitandika bonge la radi hadi game ikabidi itulie kwanza,,,,,hio ndo fujo sasa
Lile radi la kutoka huku huku Mzee. Shalulile mtamuachia lini arudi kwenye kiwango chake?
 
Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.

Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Waarabu kutoka Afrika Kaskazini, hii ya Simba na Al Ahly Tripoli ni mara ya kwanza. Kama hilo limewahi kutokea niambie ni lini.
Nimekuelewa sana aisee nilikuoa naomba Caf wawape Simba kombe lao la Kuanzia ugenini
 
Mwambieni kocha asipofuzu hatua inayofuata kazini kwake kutakuwa na kazi.

Ule upangaji wa kikosi na subs za kimagumashi zitambebesha mizigo kabla ya Nyerere day asipokuwa makini
Punguza upumbavu.

Ujuaji mwingi. Wewe ndiyo una game plan ya timu.

Wewe ndiyo unasimamia program ya wachezaji mazoezini kwahiyo unajua nani apangwe au asipangwe.

Wewe ndiyo unaijua mifumo na mbinu za kocha hiyo anapangwa unaetaka wewe.

Una taaluma ya ukocha?

Punguza ujuaji.
 
Sasa ukipewa masharti ya kujiunga na jumuiya unayotaka kuwa sehemu yake si unatekeleza ili utilize hivyo vigezo kama bado hauna? Kwa hiyo unaitaja Djibouti kisa mlicheza na kile kitimu cha mchongo cha kutoka huko, aisee?

Nimekwambia Tanzania tulitaka kujiunga na hizo jumuiya, je sisi ni waarabu? Tanzania kiingereza ni lugha rasmi ila tembea mtaani ongea kiingereza uone watu watakavyokuzodoa. Achana na mtaani, humu tu mnapojifanya waelewa, andika kwa kiingereza uone kebehi utakazokutana nazo.
We jamaa unaongoza kwa ubishi halafu hupendi hata kuchukua muda wako ukaenda kujiridhisha kile unachobisha kama n sahihi au lah. Nenda ka goggle mataifa ya kiarabu halafu lete source na screenshot inayoonesha Somalia na Djibouti hawapo kwenye list ya mataifa ya kiarabu. Usioneshe ujinga wa wazi wazi. Twende kwa fact njoo na uthibitisho wako unaonesha hayo mataifa mawili sio ya kiarabu.
 
Wewe kigezo chako cha kuwa taifa la kiarabu ni kuleta list ya mataifa yaliyopo kwenye jumuiya ya mpira, hiko siyo kigezo tosha dogo. Haiti iliomba kuwa member wa African Union, je Haiti ipo Africa?
 
Lete vigezo vyako tuvichambue, mimi kule juu nimeweka vigezo vitatu 1) kutumia lugha ya kiarabu 2) mila na utamaduni za kiarabu 3) race

Sasa njoo na vigezo vyako vinavyoonesha Somalia na Djibouti sio mataifa ya kiarabu. Sio unaruka unaruka tu bila kujibu kwa hoja.
 
Lugha rasmi siyo kigezo. Nimekutolea mfano mmoja tu, sisi hapa Kiingereza ni lugha rasmi, haya nenda Kariakoo halafu kajifanye hautaki kuongea kiswahili, ongea nao kiingereza uone shughuli yake. Wakikwambia wewe mswahili ongea nao kiswahili, waambie waache ujinga waongee kiingereza kwa sababu kiingereza ni lugha rasmi ya nchi.

Vita vinavyoibuka Kila siku huko nchi jirani na Russia unajua vinasababishwa na nini? Nimekwambia Tanzania ilitaka kujiunga na jumuiya hizo, je sisi ni waarabu? Ningekufundisha historia kidogo ila kwa sababu ya ubishi wako utabaki hivyo hivyo.
 
Kwani shida iko wapi kutoa vigezo vyako vya inchi kuwa ya kiarabu ni zipi? Toa vigezo vyako hapa vinavyopingana na Somalia na Djibouti kuwa mataifa ya kiarabu
 
Halafu embu kwanza, hivi siyo wewe niliyekujibu jana nikakwambia post yangu ya kwanza nilisema specifically mataifa ya Kaskazini na mechi za mtoano maana mlishaanza kutaja mechi za makundi na nchi ambazo siyo za Afrika Kaskazini. Au utaniambia Somalia na Djibouti pia ziko Afrika Kaskazini? Maana si unataka twende technically, embu tuanzie hapo.

Huwa niko makini katika uandishi wangu kuliko unavyodhani. Najuaga mapema sana angle wakulungwa mtakazokuja nazo.
 
Stick kwenye hoja moja kisha ndio uende kwenye hoja nyingine usihamishe hoja kabla haijafikia mwisho.

Sasa kama una hamisha hoja kwa kusema waarabu wa Kaskazini, je ile timu ya Al akhdar iliyocheza dhidi ya Azam, ambapo Azam ilianzia ugenini je hiyo timu haitokei Libya?
 
Stick kwenye hoja moja kisha ndio uende kwenye hoja nyingine usihamishe hoja kabla haijafikia mwisho.

Sasa kama una hamisha hoja kwa kusema waarabu wa Kaskazini, je ile timu ya Al akhda iliyocheza dhidi ya Azam, ambapo Azam ilianzia ugenini je hiyo timu haitokei Libya?
Nakurudisha kwenye mstari maana unasema naleta mada bila kufikiri, na mimi nataka kukuonyesha nilijua mtataja hatua za makundi na vinchi hivyo ambavyo kwa sababu ya njaa vimejiunga jumuiya za kiarabu ila kiuhalisia siyo na ni nchi ambazo hazijawahi kuwa tishio katika mpira wa Afrika. Scars alijaribu kufafanua hoja yangu jana ila ndiyo hivyo uelewa wenu bado ni duni.

Unataka nitumia Google, ukiingia huko Google na Quora utaona waarabu wenyewe wanakwambia sababu za nchi kama Somalia na Djibouti kukubaliwa na kwa nini nchi zingine ambazo zinakidhi hivyo vigezo kuliko hizo nchi kama Chad na Mauritania zimekataliwa. Ndiyo maana nakwambia ukiwa mpole naweza kukupa tuition. Tanzania bila Nyerere kuingilia kati ingekubaliwa huko, bado swali langu liko pale pale, je sisi ni waarabu?
 
Back
Top Bottom