Oubobe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2022
- 360
- 801
Mtafungwa kwa Nkapa na utakimbia JF kwa Wiki 1 ndio utarudiTudadavuli zaidi uipontant wake kaka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafungwa kwa Nkapa na utakimbia JF kwa Wiki 1 ndio utarudiTudadavuli zaidi uipontant wake kaka...
Team Mabululu ni kuwasamehe. Wengi walikuwa wanashadadia bila hata kumwona akicheza. Mie kocha nimemwelewa aliitaka sare anawajua waarabu. Hii sio timu ya CBE wala IFM😂Afadhali umemjibu, nilipata kauzito fulani. Kama wanajumlisha magoli ya ligi tena ya misimu tofauti kutengeneza aggregate hauwezi kushangaa akisema hicho alichosema.
Uongo mkavu huo; mwaka jana Yanga ilianzia Algeria dhidi ya CR BelouizdadPamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.
Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Waarabu kutoka Afrika Kaskazini, hii ya Simba na Al Ahly Tripoli ni mara ya kwanza. Kama hilo limewahi kutokea niambie ni lini.
Ubora wa timu kwa kuangalia rank ndiyo unaotumiwa na CAF kwenye upangaji wa ratiba na kuamua nani aanze ugenini na nani aanze nyumbani.
Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
adriz changaule
Ukoo wa mbumbumbuBora Mungu akunyime vyote lakini sio akili na maarifa. Zifuatazo ni mataifa yaliyopo chini ya union of Arab football associations (UAFA)
1)Qatar
2)Saudi Arabia
3) Iraq
4) Syria
5) Tunisia
6) Egypt
7) Morocco
8) Algeria
9) United Arab Emirates
10) Oman
11) Lebanon
12) Jordan
13) Bahrain
14) Mauritania
15) Palestine
16) Libya
17) Sudan
18) Comoros
19)Yemen
20) Kuwait
21) South Sudan
22) Djibouti
23) Somalia
Je kabla ya Simba haicheza leo, hakuna timu ya Tanzania iliyoanzia ugenini dhidi ya timu kutoka Somalia, Sudan, South Sudan, Comoro au Djibouti?
We jamaa kichwa chako ni cha kubebea mzigo pekee, una nyuzi za watoto wa chekechea.
Nina uhakika huyu uwezo wake wa kufikiria akikaa na mwanangu anamuacha mbali sana. Huyu ni mweupe sana kichwani kuliko mashabiki wote wa SimbaHivi wewe jamaa unakulaga nini mbona unatoaga mashudu tupu
Sudan, Somalia, Djibouti ni mataifa ya kiarabu hayoHalafu ungechelewa kidogo tu kuna uto angekuja kuitaja. Zalan si wanatokea hapo kaskazini mwa Uganda tu?
Hivi wewe ni mjinga kiasi hiki? Al Ahaly umeshawahi kuona wanaanzia nyumbani?Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.
Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Waarabu kutoka Afrika Kaskazini, hii ya Simba na Al Ahly Tripoli ni mara ya kwanza. Kama hilo limewahi kutokea niambie ni lini.
Ubora wa timu kwa kuangalia rank ndiyo unaotumiwa na CAF kwenye upangaji wa ratiba na kuamua nani aanze ugenini na nani aanze nyumbani.
Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
adriz changaule
Alieliita kombe la Luza ni Manara. Umeanza kushabikia Mpira lini na wapi?makolo kumbukeni hapa mnaongelea kombe mliokua mnaliita kombe la looser,nawakumbusha tu maana msijizimishe data
Kwa hiyo point ni kuwa wa kwanza kuanzia ugenini dhidi ya warabu au yanga kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Libya?Yanga ingepangwa na hao hao Al Ahly, nani angeanzia nyumbani?
Nilitalajia ungemuelimisha huyu maamuma lakini na wewe unaleta ushabiki huku ukijuwa wazi kuna wajinga sasa wanashusha credibility ya JF.Yanga alianzia ugenini dhidi ya waarabu wa Sudan kaskazini wanaojulikana kwa jina la Zalan
Huyu ukipitia thread zake hapa jukwaa la michezo utagunduwa kichwa yake ina mushkeli siyo bure.Kwa hiyo point ni kuwa wa kwanza kuanzia ugenini dhidi ya warabu au yanga kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Libya?
Any way katika rank za CAF , yanga ni ya 13 na Al ahly tripoli ni ya 31, Sasa sijui nani angeanzia nyumbani
Soma post ya kwanza, nimesema specifically timu za kaskazini na pia nikasema mechi za mtoano, sasa nashangaa mnataja djibouti na hatua ya makundi.Sudan, Somalia, Djibouti ni mataifa ya kiarabu hayo