changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Soma post ya kwanza, nimesema specifically timu za kaskazini na pia nikasema mechi za mtoano, sasa nashangaa mnataja djibouti na hatua ya makundi.
Na si kweli Somalia na Djibouti hazijawahi kutambulika kama nchi za kiarabu.
Ni swala la ratiba ila hakuna kitu cha ajabu hapo, kwenye klabu bingwa kuna timu kutoka huko kaskazini ambazo Yanga imeizidi point na kama draw ingekuwa dhidi yao basi Yanga ingeanzia ugenini. Timu hizo ni Pyramids, Far Rabat, Mc Alger, Monastir, Al Ahly Benghazi.
Somalia na Djibouti ni inchi za kiarabu usiwe mbishi wakati hujui na hutaki kujifunza.