Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Lazima kuna ka bahati mbaya tuu kametokea...Simba hii inapomaliza mechi imefungwa hata goli moja, tunaita fundi wa maji aangalie leakage iko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima kuna ka bahati mbaya tuu kametokea...Simba hii inapomaliza mechi imefungwa hata goli moja, tunaita fundi wa maji aangalie leakage iko wapi
Wenye akili niwawili tu hukoWaarabu wenyewe ni hawa akina Mabululu?
Timu ya taifa ya Libya ikicheza na katimu kenu kale kanakochana mikeka ya watu kila siku, mnapigwa nje ndani.Sasa jombaa mbona unakuwa kama yoro masolo kampanyeroo dwasi ya fasi unga limited arifu.. hawa Libya si machalii kama sisi mazeee?!
Jitape ukianzia ugenini na Al Ahly, Esperance, Wydad na timu za Algeria kidogo..
Libya?
Hao niwakusamehe bure wenye akili huko no wawili tuYani Yanga ni mazezeta...group stage una uhakika wa kucheza mechi zaidi ya 3 hivyo unaweza kujipanga..yani unataka uende kwa waarabu kichwa kichwa wako full house..
Ni kweli wenye D2 ni WAWILI?! Yani wengine wooote, ni mavimavi kichwani.Wewe ni kilema wa akili mashindano ya ndondo nani aangalie
Hamna mtu wa kuangalia hayo mashindano ya ndondo kama imekuuma chomoa mbumbumbu WeweNi kweli wenye D2 ni WAWILI?! Yani wengine wooote, ni mavimavi kichwani.
Hayo ni maneno ya Alhaj Manara lakini.
umeambiwa hatua ya mtoano wew unatuletea maswala ya makundiBelouzidad tulianza nao vipi last season kwenye makundi? Alafu mabango kazi yake kubwa kuwakera makolo last season tulipga 5, 5 timu nyingi ila nyie ndio mliowekwa kwenye mabango
Hujajibu swali Masta.Hamna mtu wa kuangalia hayo mashindano ya ndondo kama imekuuma chomoa mbumbumbu Wewe
Hivi ni kweli rage alisema nyie ni mbumbumbu nijibu mzee wa 5?Hujajibu swali Masta.
Ni kweli wenye D2 ni wawili?! Wengine mavimavi kichwani?
Azam vs Al akhdar, Azam alianzia ugeniniHujajibu swali Masta.
Ni kweli wenye D2 ni wawili?! Wengine mavimavi kichwani?
Ni Azam vs Al akhdar walianzia ugeniniumeambiwa hatua ya mtoano wew unatuletea maswala ya makundi
Aliwazungumzia Mashabiki, lakini mimi ni Mwanachama.Hivi ni kweli rage alisema nyie ni mbumbumbu nijibu mzee wa 5?
Ni Azam vs Al akhdar ya LibyaTimu ya taifa ya Libya ikicheza na katimu kenu kale kanakochana mikeka ya watu kila siku, mnapigwa nje ndani.
Deportivo de Utopolo wangepangwa na hawa hawa, mechi ya kwanza ingekuwa TZ
Jibu swali wewe ni mbumbumbu kama rage alivyosema?Aliwazungumzia Mashabiki, lakini mimi ni Mwanachama.
Vipi kuhusu Alhaj Manara aliesema kati ya woote, wenye akili ni wawili tu.
Sasa je, upo kwenye akili au mavimavi?
Tuweke record sawa Azam alianzia ugenini dhidi ya Al akhdar ya LibyaPamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.
Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu ya Waarabu kutoka Afrika Kaskazini, hii ya Simba na Al Ahly Tripoli ni mara ya kwanza. Kama hilo limewahi kutokea niambie ni lini.
Ubora wa timu kwa kuangalia rank ndiyo unaotumiwa na CAF kwenye upangaji wa ratiba na kuamua nani aanze ugenini na nani aanze nyumbani.
Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
adriz changaule
Azam vs Al akhdar ya LibyaKoote
Aliwazungumzia Mashabiki, lakini mimi ni Mwanachama.Jibu swali
Jibu swali wewe ni mbumbumbu kama rage alivyosema?